Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,370
Singida ilizizimaSingida kaacha gumzo sisiemu IMEFUTIKA huyu Mwamba huyuu ...hiiii
Singida ilizizimaSingida kaacha gumzo sisiemu IMEFUTIKA huyu Mwamba huyuu ...hiiii
Aisee Mimi kuna jamaa yangu kanipigia kaniambia Lissu kuifuta CCM Singida nimeshangaa sanaSingida kaacha gumzo sisiemu IMEFUTIKA huyu Mwamba huyuu ...hiiii
Mkuu imekwenda ..watu wamebaki midomo wazi....huyu MWAMBAAisee Mimi kuna jamaa yangu kanipigia kaniambia Lissu kuifuta CCM Singida nimeshangaa sana
Hawa ndio waliomuingiza chaka mzee wa watuDah kipi kinafanya Magu akataliwe kwa kiwango hiki? Mbona akina Pascal walidai jamaa hana haja ya kufanya kampeni 2020..
Hawa ndio waliomuingiza chaka mzee wa watu
Flayiova, esigiala, meli na bombadia ndio zinawafanya wawe na kiburi eti wamewafanyia wanachi maendeleo subiri Oct 28 wataenda kuishi kwenye hizo bombadia na flayiova zao...Dah kipi kinafanya Magu akataliwe kwa kiwango hiki? Mbona akina Pascal walidai jamaa hana haja ya kufanya kampeni 2020..
Kila kitu kimesimama wanaofaidi ni wachache tu mfano ununuzi wa wapinzani wamelipwa pesa nyingi kusaliti wananchi waliowachagua, watu wameumia sana na lile zoezi CCM hawajui tu. Ubabe mfano mdogo dhuluma anayotendewa Lissu waziwazi ni kichaa pekee anaweza kuunga mkono. Maneno yanayotoka kwenye kinywa cha mkuu ndio usiseme ' Mkichagua wapinzani mtajuta!. Kifupi mambo ni mengi saana.Dah kipi kinafanya Magu akataliwe kwa kiwango hiki? Mbona akina Pascal walidai jamaa hana haja ya kufanya kampeni 2020..
Chukua hatua ndugu... Usiendelee kulala tu hapo Lumumba...Kwa kweli Ndugu zangu Wana CCM upepo umebadilika. Tuwe chonjo.
Aiseeeeee !!Singida kaacha gumzo sisiemu IMEFUTIKA huyu Mwamba huyuu ...hiiii
Kumzomea mgombea yoyote ni ushamba kama humpendi mkatae kwenye Sanduku la kura...Kile kipande cha kuzomea hakiko hapa ee?
Watu wamempokea vizuri badae akaanza kupiga umbea na mitusi bila kuwaambia utatuzi wa changamoto zao wakaona bure kabisa huyu wakazomea wee.