Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Mbowe yatikisa kata ya Machame, akina mama wamtandikia Khanga njia nzima asikanyage vumbi, umati wafurika!

Mmh haya, ngoja tuone. Maana kama mafuriko ni kutafuta shoroba na kuweka wanachama Mbowe anapigwa kweupeee jua halijakolea
 
Mbowe mjanja sana, yeye anarudi Bungeni lkn yule takataka ndo kwisha habari yake, na baada ya Oktoba 28 hata hela za kujikimu chadema hawatampa, ...
Chezea Chadema weweeee
Wamemwangushia jumba bovu
Bora tu angerudi kwenye ubunge
 
Mbowe mjanja sana, yeye anarudi Bungeni lkn yule takataka ndo kwisha habari yake, na baada ya Oktoba 28 hata hela za kujikimu chadema hawatampa, ...
Takataka ni mgombea wenu anayetaka sugu akamkaze
 
I swear hawa wamama wajiandar kean watapewa kesi ya kutakatisha fedha na magfools
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.

Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa, ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .

 
Nadhan kimembumia yule alopiga magoti mbele ya tutoto twa shule,

sijui alikua akiomba kura au ndo alikua akiomba msamaha kwa wale alioamrisha wauwawe kule kibiti, na rufiji??
TOKA UMARUFU ALIOKUANAO UMESHUKA KIASI HICHO MPAKA AMEANZA KUUBUSTI KWA KUKANYAGA KANGA ZA WANAWAKE. HII KIKI INABUMA, NA UBUNGE ATAGARAGAZWA ASUBUHI SAANA. AKANYAGE HIZO KANGA KWA MARA YA MWISHO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom