Video: Mapokezi ya Ester Bulaya Jimboni kwake yafana

8 Julai 2020
Tarime mjini, Mara
Tanzania

Esther Matiko na CHADEMA yawashukuru wananchi

Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko mbele ya Wananchi wake wazee kwa vijana kanda ya Serengeti, Tarime na Tanzania kwa ujumla akiwashukuru kwa kumuamini kwa miaka mitano kumpa nafasi ya kuwasemea Bungeni


Esther Matiko anaendelea kuelezea mbinu chafu za kisiasa za CCM Mpya kufanya kila aina ya hila ili kupunguza azma yake ya kuwatetea wana Tarime na waTanzania ili aunge mkono juhudi kwa kuwasaliti lakini anawahakikishia wananchi CCM Mpya wamefeli.
Source : millard ayo

More info :

Mkurugenzi Halmashauri ya Tarime Mjini


Source : DARMPYA TV
 
3 Julai 2020
Mkurugenzi wa wilaya DED Butiama aibuka pia katibu wa CWT aunga juhudi za serikali ya awamu ya 5...



Source : DARMPYA TV
 
11 Julai 2020
Dodoma

STEPHEN WASIRA : NACHUKUA TENA FOMU TAREHE 14 Julai 2020 / WALINICHEZEA MCHEZO 2015



Tarehe 14 Julai 2020 nachukua fomu ya kutia nia ubunge kupitia CCM Mpya. CCM tulidhulumiwa sana 2015 ktk uchaguzi kuanzia ngazi zote
Source : Wasafi Media
 
13 Julai 2020
Tarime , Tanzania
SIJAWAHI KUONESHA KIBURI, NIKO TAYARI KUBAKI PEKEE YANGU NIENDE KABURINI" HECHE



Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche July 13 amekutana na viongozi wa kata jimboni kwake muda mfupi kabla ya wajumbe kupiga kura ya kupendekeza jina la mgombea Ubunge jimbo la Tarime vijijini, Heche amewashukuru kwa kumpa ushirikiano kwa akipindi chake cha miaka mitano kuwa Bungeni
Source : millard ayo
 
14 Jul 2020
Tarime Vijijini
Tanzania

SHANGWE LA JOHN HECHE, BAADA YA KUPITA KWA 98% KUGOMBEA UBUNGE TARIME VIJIJINI



Wajumbe wa mkutano mkuu wamempitisha mgombea Ubunge jimbo la Tarime vijijini John Wegesa Heche kuwa mgombea Ubunge kwa asilimia 98% ikiwa ni kwa awamu nyingine

Source : millard ayo
 
Back
Top Bottom