Video: Mapokezi ya Ester Bulaya Jimboni kwake yafana

Kwakweli hadi siku ya uchaguzi ikifika mshindi wa jimbo akatangazwa awe wa chama chochote anastahili hayo malipo ya ubunge kwakuweza tu kuvuka icho kihunzi na makeke yake.

Sio shughuli ndogo kabisa kugombea ubunge Tanzania, hapa ndio mwanzo tu huko mbeleni ata ingekuwa mimi mganga lazima ahusike.

Halafu unakuta mtu ana familia anataka kuacha nafasi ya uhakika huko kwenye serikali ya mkoa au wilaya akajiingize kwenye mchezo wa pata potea ya kugombea ubunge, ama kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Itabidi uelewe tu sasa...
JF alikuwa maarufu kwa hoja fikirishi,ila kuna baadhi wanaojitanabaisha kuwa ni Great Thinkers lakini ukiwasoma unabaki kuduwaa.Udhalilishaji,matusi na hoja nyepesi nyepesi zisizo na mashiko ndiyo ziwatokazo.
Mods sasa hivi mmefuta adhabu za ban?
 
Makelele yote hayo na hata hujatukanwa we shetani! Kuhusu udhalilishaji, hivi kuna udhalilishaji gani hapo?
 
Back
Top Bottom