SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,754
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo.Magufuli yuko kwa Mungu?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo.Magufuli yuko kwa Mungu?
Tatizo lako ulimuabudu Magufuli kuliko mwenyezi MunguKama alivyovuna mama yako!
Manuku ndo yule mzee alikuwa na timu yake wakichezea uwanja wa katumba na hataki atoleweMmmh
Umenikumbusha Tukuyu maeneo ya soko mjinga
Watu kama Kimpo kile
Watu kama Manuku
Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Magufuli alifariki 17/03/2021Who are you? Mpaka umsemee Mungu?? Mimi nimwtumia neno Labda yuko kwa Mungu wake wewe unakuja na utopolo wako eti kwa sababu alikunyoosha kwenye wizi na uuza madawa ya kulevya wako!!
Msikilize hapa:
Video pia ipo Twitter katika akaunti ya Martin Maranja Masese na kaandika hivi
"Lumuli Alipipi Kasyupa, mbunge wa zamani wa Kyela, 1970-1975, msikilize mzee wetu huyu, kuna wakati bado wakiwa hai, tutawavisha nishani kwa kusema ukweli hata kama watawala waliziba masikio. Demokrasia baada ya miaka 60 ya uhuru ni mbovu sana. Wazee wanazungumza vijana tunaogopa."
Mzee huyu anaijua ccm kuliko akina kipara kipya,chakubanga,magu2016 na mbogamboga wengi tu hapo lumumbaAnapoteza muda wake bure Magufuli hayupo yuko kwa Mungu wake. Alipashwa kuongea alipokuwepo asituchoshe bure!
Nilimfahamu Kasyupa kwenye eneo linaloitwa Mpiki Kimbwala , kijiji cha Bukinga huko Ipande , akiwa kwenye kampeni mwaka 1980 , wewe wa kunifahamisha mimi kuhusu Kasyupa !Shida ni kuwa wewe umeanza kumfahamu huyu mzee alipohamia kwenye SACCOS yenu sisi wengine tunamfahamu kabla hata wewe hujamjua,mengine hatutaki kuyasema hapa tusije tukamvunjia heshima huyu mzee,mwache tu apumzike, kuongea na kulaumu serikali ni haki yake kikatiba sawa na wewe ulivyo na haki yako ya kumsemea gaidi kila kunapokuchwa hapa JF.
Mwambie arudi CCMMzee huyu anaijua ccm kuliko akina kipara kipya,chakubanga,magu2016 na mbogamboga wengi tu hapo lumumba
Kwa hiyo?Magufuli alifariki 17/03/2021
Wacha nikae kimya sababu nikizidi kusema nitakuwa nazidi kumwaga mtama kwenye kuku wengi.Nilimfahamu Kasyupa kwenye eneo linaloitwa Mpiki Kimbwala , kijiji cha Bukinga huko Ipande , akiwa kwenye kampeni mwaka 1980 , wewe wa kunifahamisha mimi kuhusu Kasyupa !
Shut up !Wacha nikae kimya sababu nikizidi kusema nitakuwa nazidi kumwaga mtama kwenye kuku wengi.
Ulitaka akutwe kwny viroba huko baharini 😁😁aongee na ss wenziwe ambao bado tupo hai,alipaswa aongee kpnd yu hai,akiongea ss hv tunamuita ni wale wanasiasa wasiojielewa ,wenye siasa za umalaya umalaya hivi(in mwal.voice)
UNTU GWISWILE INDOPE!!Kama hujamuelewa Kasyupa hapa basi labda Munntu gwako fikajamo nafimo
Jina la baba yake linamaana kwa kilugha chaoHilo jina ALIPIPI Ni la utani au ndio jina lake?