Video: Man Shows Us We Don’t Need Gas: 310 MILES On 1 Liter Of River Water

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Video: Man Shows Us We Don’t Need Gas: 310 MILES On 1 Liter Of River Water

2AB7909000000578-0-image-a-22_1437494376616-634x350.jpg

An elderly man from Brazil is turning heads with his motorcycle that doesn’t need gas to be powered. He has created a water-powered motorcycle that can travel 310 miles on just 1 liter of polluted river water.

From The Daily Mail:

The ‘T Power H20’ motorcycle was created by Sao Paulo-based public officer Ricardo Azevedo and can even be powered on polluted river water.

The design features a combination of water and a single external car battery, which is used to produce electricity and separate hydrogen from the water molecule.

The process, involving a pipe system, results in combustion and it is this that creates the energy necessary to power the bike.

Captured on video, Mr Azevedo demonstrates the brilliance of his invention after first drinking clean water from a bottle to prove that it is indeed H20 and not a form of fuel.

He then sets about filling up before hoping onto his motorbike and hitting the open road.

Later in the video the Brazilian proves how sustainable the bike is by filling up a bottle of water from the polluted Tiete River and running his bike on the filthy H20.

Speaking about the motorcycle, Mr Azevedo also suggested that his creation has environmental benefits too.

He said: ‘The advantage of this motorcycle, which works with the hydrogen that comes from the water, is that the result that comes out of the exhaust is water vapour.

‘This is different from gasoline, which the result is carbon monoxide.’

Video: Man Shows Us We Don’t Need Gas: 310 MILES On 1 Liter Of...
 
Ugunduzi mzuri sana ktk kupunguza gharama na kuzuia uharibifu na uchafuzi wa mazingira
 
It sound Like pure pseudoscience
Because If it use H2O-Moleculesas it main fuel,then it has nil benefit at all
In Actuality,quantinty of electric energy from external battery used to Break oxygen-hydrogen's bond in water is Exactly equal to amount of Output energy used to power such motorcycle,etc.

And If it real,this will bad news to Arabic world
 
Last edited:
Tesla naskia alitaka kujenga mtambo wa kusambaza umeme free tena wireless, waka m-R.I.P.
Mkuu na mimi pia nimeskia hayo ila pengine angekua hai wasingemuua leo hii tungekua tunatumia umeme wa wireless ,ila kabla ya kumuua naimani watakua na detailed schematics za huo mpango wake ,pengine ni swala la muda tu tutaanza kutumia wi-fi kama njia ya kusambaza umeme
 
Kweli mkuu, Mabepari waliona biashara ya waya,nguzo za umeme na kuzalisha umeme wa maji itakufa!!! Wakaona wam-R.I.P.
 
Kweli mkuu, Mabepari waliona biashara ya waya,nguzo za umeme na kuzalisha umeme wa maji itakufa!!! Wakaona wam-R.I.P.
Ni kweli mkuu dunia ina mambo hii ,sasa huyu wa maji unafikiria mataifa kama Urusi na Marekani watakubali hili kirahisi hivi ?? Kutumia maji wakati biashara yao kubwa ipo kwenye mafuta na Gas na ndio kisa cha kuvamia nchi kama Iraq na Libya ili tu kuongeza reserve yao ya mafuta ,inasemekana Marekani pekee ina reserve ya mafuta ya kutumia miaka 300 ijayo ikitokea leo mafuta yameisha duniani
 
huyu watamzima mana anaharibu biashara,

lakini tutapata wapi new technology
 
Kumbe ndomana hujaonekana, pole sana mkuu, ila sasa nawewe upunguze kidogo ukali wa maneno. Karibu tena jamvini
Haha asante mkuu ,kweli kuna wakati nakua na ukali wa maneno ,na ningepewa ban wala nisinge laumu ni haki kabisa ,sema ban niliyopewa ni ya Name calling na sikumbuki ni wapi nilifanya hivyo
 
Haha asante mkuu ,kweli kuna wakati nakua na ukali wa maneno ,na ningepewa ban wala nisinge laumu ni haki kabisa ,sema ban niliyopewa ni ya Name calling na sikumbuki ni wapi nilifanya hivyo
Basi potezea tu, kikubwa umerejea tena
 
Back
Top Bottom