kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 623
hodi wanajamvi,mezani kwangu leo nimenyetishwa na vyanzo vyangu vya habari kuwa kumbe huu wimbo alioimba Paul Makonda leo kuwa "MOTO UMEWAKAA...MOTO UMEWAKAA..." ni kama ule aliowahi kuimba alipoenda kanisani kwa Askofu Gwajima alipokuwa kawe mwaka jana. Mh.Makonda alipewa heshima zote na Askofu huyo alipotembelea pale akiwa na Mh. Samweli sita.
Pia katika hali ya kushanga mnyetishaji wangu amenijuza kuwa upo uwezekano wa mke wa mjomba huyu kuomba msamaha, ka wale watu ambao walitajwa na kuhusishwa kimakosa na kwa kuonewa, na sasa kichwa kinamuuma mjomba wetu (jamaa) ni namna gani anaweza kusafisha tena nyota za watu wenye haki.
ndio maana leo hukumsikia hata akizungumzia.
MY TAKE
Ni vzr kuwa makini sana katika maswala yanayohitaji umakini.
Na tusitumie Chuki wala hila mambo yafanyike kwa haki.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.