Video: Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

Wazo Kuu

Senior Member
Oct 21, 2018
114
293
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga taifa Steven Lusinde amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Shilimgi Bilioni Tano kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wamachinga Taifa.

Pia wameomba Rais Samia apange siku moja ya kukutana na wamachinga popote atakapoamua watamfuata.

Tazama Kipande hiki.

 
Back
Top Bottom