Video: Majasusi wa Urusi (FSB) wazuia shambulio la kigaidi la Ukraine nchini Urusi, wamtia nguvuni gaidi na vilipuzi vyake

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,919
15,604
Majasusi hatari ya kirusi (FSB) yamemnasa gaidi wa Ukraine aliyekuwa akijiandaa kuweka vilipuzi hatari kwenye warehouse ya kampuni ya usafirishaji kwenye jiji la Bryansk, Urusi.

Gaidi huyo wa kiume mwenye miaka 50+ aliiingia Urusi akitokea Ukraine kupitia Estonia. Baada ya kuingia Urusi, akapatiwa vifaa (components) vya milipuko, akaviunganisha ili kupata bomu ktk apartment aliyokodisha, huku akipata msaada wa maelekezo toka kwa afisa mpelelezi wa Ukraine mwenye ujuzi wa milipuko . Vifaa hivyo vilichukuliwa toka kwenye kichwa cha kombora la kulipulia vifaru, na vinaweza toa mlipuko wa kilo 3 za TNT.

Gaidi yupo kwenye mikono yetu salama...anajutia vibaya kitendo chake hicho cha kigaidi, na anatoa ushirikiano mkubwa tu kwenye mahojiano.

======

12 Oct, 2022 09:01
HomeRussia & FSU

Ukrainian terrorist plot foiled in border region – Russia​

The would-be attacker planned to cause a powerful explosion at a warehouse, according to the FSB

Russia’s FSB security agency has announced the arrest of a Ukrainian citizen, who was allegedly seeking to plant a powerful improvised explosive device inside a transport terminal in the city of Bryansk.

According to Wednesday’s report, the male in his mid-50s travelled to Russia from Ukraine via Estonia. Once in Russia, he recovered the components for an IED from a stash pre-prepared by the Ukrainian special services, the statement claimed.

He later allegedly assembled the bomb at a rented apartment, with an intelligence agent specializing in explosives giving instructions on how to build and test it. The device was adapted from an anti-tank missile warhead and had a yield equivalent to 3 kg of TNT, according to the description.

The FSB said the suspect observed the warehouses of a logistical company in Bryansk, where he wanted to plant the device, before being arrested by Russian law enforcement. Bryansk Region shares a border with Ukraine.

Russian law enforcement has released footage, purportedly showing the moment the suspect was apprehended. The video includes the unpacking of the alleged bomb.

The plotter “is remorseful for his actions and is cooperating with the investigation”, the Russian agency stated. It claimed the would-be attacker was sent by Ukraine’s SBU security service.
 
MK254 pita hapa uone namna tulivyomnasa gaidi mwenzako. Ujichanganye nawe ubebeshwe milipuko, uone namna tutavyokunasa na kukumaliza for good👌🏾👌🏾👌🏾

Safi sana kumbe wanangu wamefika huko, mjiandae kwa milipuko milipuko....takbirr kumbe huwa mnapata raha hivi kila mkiskia kobaz mwenzenu kajilipua, nasema hivi, wanangu wa Ukraine mliopo Urusi muda wa kuonyesha uzalendo, lipukeni huko, kuna mabikira yanawasubiri.
 
Sasa mbona Urusi itakuwa nchi ya kuwindwa na raia wake na wasio raia kwa ajili ya mabomu ya kujitoa muhanga.

Waliokamatwa kuhusika na mlipuko wa daraja la Crimea watano ni raia wa Urusi.
Hiyo ni kawaida nchi zote duniani,wasaliti hawakosi kwa vipande vya mkate
 
Majasusi hatari ya kirusi (FSB) yamemnasa gaidi wa Ukraine aliyekuwa akijiandaa kuweka vilipuzi hatari kwenye warehouse ya kampuni ya usafirishaji kwenye jiji la Bryansk, Urusi.

Gaidi huyo wa kiume mwenye miaka 50+ aliiingia Urusi akitokea Ukraine kupitia Estonia. Baada ya kuingia Urusi, akapatiwa vifaa (components) vya milipuko, akaviunganisha ili kupata bomu ktk apartment aliyokodisha, huku akipata msaada wa maelekezo toka kwa afisa mpelelezi wa Ukraine mwenye ujuzi wa milipuko . Vifaa hivyo vilichukuliwa toka kwenye kichwa cha kombora la kulipulia vifaru, na vinaweza toa mlipuko wa kilo 3 za TNT.

Gaidi yupo kwenye mikono yetu salama...anajutia vibaya kitendo chake hicho cha kigaidi, na anatoa ushirikiano mkubwa tu kwenye mahojiano.

View attachment 2384722
======

12 Oct, 2022 09:01
HomeRussia & FSU

Ukrainian terrorist plot foiled in border region – Russia​

The would-be attacker planned to cause a powerful explosion at a warehouse, according to the FSB

Russia’s FSB security agency has announced the arrest of a Ukrainian citizen, who was allegedly seeking to plant a powerful improvised explosive device inside a transport terminal in the city of Bryansk.

According to Wednesday’s report, the male in his mid-50s travelled to Russia from Ukraine via Estonia. Once in Russia, he recovered the components for an IED from a stash pre-prepared by the Ukrainian special services, the statement claimed.

He later allegedly assembled the bomb at a rented apartment, with an intelligence agent specializing in explosives giving instructions on how to build and test it. The device was adapted from an anti-tank missile warhead and had a yield equivalent to 3 kg of TNT, according to the description.

The FSB said the suspect observed the warehouses of a logistical company in Bryansk, where he wanted to plant the device, before being arrested by Russian law enforcement. Bryansk Region shares a border with Ukraine.

Russian law enforcement has released footage, purportedly showing the moment the suspect was apprehended. The video includes the unpacking of the alleged bomb.

The plotter “is remorseful for his actions and is cooperating with the investigation”, the Russian agency stated. It claimed the would-be attacker was sent by Ukraine’s SBU security service.
Huyu gaidi misumari ya zege mwili mzima
 
Back
Top Bottom