kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
Yote kheriSasa nyingine dua la kuku humpata mwewe
Angetangaza shida kama angekua na akili.Prezi daa, hakuna aliloliomba ila picha tuu imetosha, ndio najua sasa kwanini aliamua kutoka hivyo anavyotoka, siombaya lakani angaalie white house isije ikajaa picha.
We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
inaonekana hata kumaliza dua hakumaliza.Anaondoka na mikono juu kwa uoga (au alimfunya !!!)na kushindwa kumpa mkono rais.Kafukuzwa na walinzi??!??!!?!!!!.....Huyo mlinzi wa rais, mpaka anamsukuma jamaa!