VIDEO: Mabodigadi wa KIM JONG UN wakimsindikiza kiongozi wao LUNCH kwa mchakamchaka

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
5ae2c5c8fc7e937e138b4624.jpg


 


Mimi tokea nisikie kuwa kuna ' Bodyguard ' mmoja hivi wa Rais wa Puerto Rico ( sasa amestaafu ) Bonge ( mnene sana ) huwa kila Siku asubuhi hata kabla hajanywa Chai yake kwanza kuwa anakimbia kwa ' Kupasha ' kutoka kwa mwendo wa mfano vile wa Feri hadi Kibamba huku akikimbia muda wote kwa Spidi ya Mwanariadha Usain Bolt ile ya mbio kisha anarudi ndipo sasa anakunywa Chai nimetokea kuwaogopa na kuwaheshimu sana hawa ' Bodyguards '. Sijajua wa hapa Tanzania kama nao wapo hivyo ila nimeelezea sana ya Puerto Rico kwakuwa huwa nakuwa huko muda mwingi.
 
Na tuliobaki je? Na unaweza kukuta katika hao hao kuna ambao Minara yao ya Babeli ( Mikuyenge ) haisimami vile vile ( hawadindishi ) sasa huo unamamu wao unakuwa wapi?
Msaga sumu kawadanganya mwanaume mashine ...
uanaume ndo huo ,mwanaume matendo,ukakamavu kende & uume hata mbuzi anazo mkuu
 
Back
Top Bottom