Video: Mabere Marando akitoa Lecture kwa Vijana wa Vyuo Vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Mabere Marando akitoa Lecture kwa Vijana wa Vyuo Vikuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, Feb 2, 2011.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,527
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  • Umuhimu Vijana kujibainisha na vyama vya siasa
  • Political Parties Vs Civil Societies katika karne mbili zilizopita
  • Katiba Mpya is not debatable
  • Sayansi ya Siasa inasema CCM imezeeka itakufa
  • Symptoms za death ya CCM
  • Nyota ya Uongozi Tanzania ipo CHADEMA
  • KATIBA MPYA YA KENYA: vifungu vya 37; 71; 107; 152 ni mfano mzuri wa KATIBA BORA.

  VIDEO KWA HISANI YA JAMVINI WA YOUTUBE.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu thanx sana nimepata uhondo haswa wa hiki kichwa.Pia nilisikia dr yupo hapo. mkuu naomba utundike part iliyobaki kama unayo
   
 3. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli CCm Iko mbini kutoweka!!!
   
 4. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,527
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Sir George Kahama: CCM haiko salama

  HALI ya kutokukubaliana na mwenendo wa mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kujipambanua, kada wa mkongwe wa TANU na CCM, Sir George Kahama, naye ameibuka akitaka kauli za viongozi na matamko ya chama hicho yaegemee zaidi tafiti badala ya utashi wa viongozi, ili kubeba uzito unaostahili.

  Mwenendo wa sasa wa CCM unabainisha kuwa hata vikao nyeti, ikiwamo Kamati Kuu (CC) na Halmashauri Kuu NEC) vimeanza kupoteza mvuto, vikiibua misimamo inayopingana na sehemu kubwa ya jamii.

  Kati ya masuala ambayo yanatajwa kuitenga Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, vyombo muhimu vya CCM ni kutothubutu kuwachukulia hatua za kinidhamu viongozi wa CCM, wasio na maadili.

  Kutokana na hali hiyo, Sir George Kahama anasema; “Chama sasa kinahitaji Idara nzito ya utafiti, yenye wataalamu waliobobea. Lazima chama kiwe na watafiti wa kisiasa, kisaikolojia na kiuchumi,” alisema Kahama katika mazungumzo yake na Raia Mwema, kabla ya mazishi ya Kada mwanzilishi wa TANU, Chifu George Patrick Kunambi, Ubungo-Msewe, jijini Dar es Salaam.

  Endelea kusoma toka Source:Sir George Kahama: CCM haiko salama
   
 5. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,527
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  • Mihimili mitatu ya katiba ya sasa ilivyopitwa na wakati
  • mfano Raisi kuwa kama mfalme
  • Raisi anateu viongozi wote

  Video kwa Hisani ya Jamvini wa YOUTUBE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...