Video: Maalim Seif: Prof.Lipumba aseme ukweli kilichomtoa CUF.

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,200
3,321
Wanajamvi
Salaam. Maalim Seif amemshangaa Prof.Lipumba kuacha kueleza sababu zilizomfanya aondoke CUF,badala yake ameanza kudanganya na kutafuta sababu za uongo.

My take: Hii tabia ya ubaguzi aliyoianzisha prof.haipaswi kufumbiwa macho. Cuf ina wanachama bara na visiwani aache kukigawa chama vipande vipande.
 
Prof Lipumba hayupo peke yake katika huu mpango mchafu wa kuisambaratisha CUF.

Anasaidiwa na watawala na wanaona hii ndio namna pekee ya kukivunja nguvu hiki Chama na Maalim Seif binafsi, kwenye kudai ushindi waliopokwa wa Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015.

Kwaiyo chokochoko zote hizo ni kukipoteza chama na Maalim Seif mwelekeo wa kwenye ajenda ya kudai HAKI yao kufuatia udhalimu uliofanywa na Jecha kwenye Uchaguzi huo.

Ila yote haya yana mwisho wake.

Na kwenye hili Msajili wa vyama Jaji Mutungi hutabaki salama.
 
Seifu unakosea swala la kuwagawa watu si sifa ya Lipumba bali hii ni Sifa yako Ndani ya chama umetengeza Makundi kwa ubaguzi wa eneo ukaamua kutengeneza sera ya Upemba ndio wanahaki miliki ya uwongozi hadi Leo watu wa CUF wenye asili ya Unguja hawana nyazifa ya juu ulimuweka Bab Duni sasa umeshamuundia mpango hawezi kuwa kiongozi tena kwa mujibu wa katiba ya chama pia sasa nani Mbaguzi? Mimi naona maneno ya DK Salmini Amour hayakudondoka chini "Alisema kuwa Seifu akenda Pemba anasema wapemba nao zamu yao kuwa Rais wa Zanzibar akija Unguja anasema kuwa CCM ni chama cha Makafiri " Ukweli kuwa Seifu hoja ya Ubaguzi wewe ni no 1 ila imani yangu Mungu atakulipa hapa hapa tu na hayo sasa yanaanza tu
 
Sasa kama Malim Seif anafahamu sababu zilizomfanya Prof. lipumba kutaka kujitoa CUF si atuambie.

Yaani wewe umemuona mwizi anaiba halafu badala ya kusema huyu fulani nilimuona akiiba badala yake unatuambia aliyeiba aseme.

Mbaya zaidi, huyu Maalim Seif kila mara anadai Zanzibar lazima iwe huru au hafahamu kuwa maneno hayo yanawagawa Watanzania Bara na Tanzania Visiwani?

Ama kweli Nyani haoni...
 
Profesa Lipumba inabidi ajitathmini kujua aina ya mtu anayetaka kupambana nae.Mpaka sasa mwenzake yupo pamoja na wabunge wengi pamaoja na Baraza la Wadhamini.
 
Seifu unakosea swala la kuwagawa watu si sifa ya Lipumba bali hii ni Sifa yako Ndani ya chama umetengeza Makundi kwa ubaguzi wa eneo ukaamua kutengeneza sera ya Upemba ndio wanahaki miliki ya uwongozi hadi Leo watu wa CUF wenye asili ya Unguja hawana nyazifa ya juu ulimuweka Bab Duni sasa umeshamuundia mpango hawezi kuwa kiongozi tena kwa mujibu wa katiba ya chama pia sasa nani Mbaguzi? Mimi naona maneno ya DK Salmini Amour hayakudondoka chini "Alisema kuwa Seifu akenda Pemba anasema wapemba nao zamu yao kuwa Rais wa Zanzibar akija Unguja anasema kuwa CCM ni chama cha Makafiri " Ukweli kuwa Seifu hoja ya Ubaguzi wewe ni no 1 ila imani yangu Mungu atakulipa hapa hapa tu na hayo sasa yanaanza tu
Maalim Seif ni kati ya wanasiasa vigeugeu na nyoka ambao ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yoyote.

Inapata madaraka kwa njia ya ujanja ujanja ya kuwagawa wananchi.

Ukizisikiliza hotuba zake unaweza kupata mshangao kutokana na mauthui yake kwa jamii.
 
Ila Jamaa ni Mpambanaji.Kwa nchi za kiafrika ukiona mtu kadumu muda mrefu katika siasa za upinzani ujue huyo Dume la Mbegu.
 
Maalim Seif ni kati ya wanasiasa vigeugeu na nyoka ambao ni hatari sana kwa ustawi wa jamii yoyote.

Inapata madaraka kwa njia ya ujanja ujanja ya kuwagawa wananchi.

Ukizisikiliza hotuba zake unaweza kupata mshangao kutokana na mauthui yake kwa jamii.
Heshima ya Maalim seif ndani na nje ya nchi hakuna mwanaccm wa sasa hata mmoja anayeifikia hata nusu , hii ni kuanzia kwa mwenyekiti wa Taifa hadi wewe mjumbe wa shina .
 
Ni ngumu sana kwa Prof Lipumba kumzidi Maalimu Seif kwa hoja.Maalimu Seif ni mtu aliyedumu kwenye siasa kwa muda mrefu na ameshashika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo Waziri Kiongozi na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.Maalim Seif anaijua Siasa na Siasa inamjua.
 
Kama ni suala la heshima hata Adolf Hitler anaheshimika sana!
 
aaache propaganda kama angekuwa na la ziada kumhusu profesa lipumba asingenyamaza na kumtaka yeye mwenyewe aseme.
 
Ni ngumu sana kwa Prof Lipumba kumzidi Maalimu Seif kwa hoja.Maalimu Seif ni mtu aliyedumu kwenye siasa kwa muda mrefu na ameshashika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo Waziri Kiongozi na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.Maalim Seif anaijua Siasa na Siasa inamjua.

Bora Malim Seif akae na Prof. Lipumba waweke tofauti zao kando wakijenge chama, mimi naamini CUF walikosea kutokukaa na kujadili barua ya kujiuzulu ya Profesa kama katiba ya CUF inavyotaka. wangekuwa wameshamuondoa siku nyingi, hawakufanya hivyo sasa hakuna namna zaidi ya kukubaliana tu, maana katiba iko wazi hapo, hizo nyingine ni porojo na hazina faida ila hasara tupu.
 
Ni ngumu sana kwa Prof Lipumba kumzidi Maalimu Seif kwa hoja.Maalimu Seif ni mtu aliyedumu kwenye siasa kwa muda mrefu na ameshashika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo Waziri Kiongozi na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.Maalim Seif anaijua Siasa na Siasa inamjua.
Angekiwa anaijuwa siasa ya Znz asingeshindwa kusalimoana na Mh Rais Shein kama kweli siasa imo ndani ua Damu kama anhekuwa anaijuwa siasa asinge wambie wananchi pemba wawachukie na wasiwape huduma wana ccm halikadhalika asingetoka kupita kuporoja kwa kuwambia wananchi kuwa wa pemba watoke wapige honi za magari barabarani kiukweli seif ni shetani si mwanasiasa Mzimu wa Hamad Rashidi unamtesa huyu Nduli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom