Video Ma-Zombi wa Nairobi inatisha, inasikitisha

Kwanini Afrika hatupati kiongozi kama Duterte? Duterte aliamua kuua wote na anaua kweli...

Samahani sna mama yngu kwa Usumbufu naomba maoni khs ili...
Screenshot_20190222-222546.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anatufundisha tupendane, tuombeane mema, tusamehane, mtu akikosea mrekebishe muonyeshe njia sahihi, sasa tukianza kuuana kisa mapungufu ya kibinadamu si tutamalizana wote.
Hukumu za Mungu za kuua ni kuua. Damu kwa damu, jino kwa jino.
 
Bulaya001 , rafki angu kwenye haya maisha imani juu ya uwepo wa Mungu ni muhimu sana.Mtu huwezi hata sku moja kuzihimili changamoto bila iman na huwez kukimbia ukweli kwa kusema you reduce or run out from stress.So in most. cases iman inahusika sana tuh.
 
Back
Top Bottom