Video:Lukuvi akijigamba Bungeni kuwa serikali haitakwimishwa katika ujenzi wa mradi wa stiglers Georges kwani hela ipo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371

Walisema hata wafadhili wasipotoa fedha wataaendelea na huo mradi wa Stiegler's George kwa kutumia fedha za ndani ila ndio hao leo wameripotiwa kuomba fedha kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB).

Wacha tusubiri ukweli utajulikana.
 
Nimesoma hiyo taarifa ya reuters leo jioni nikashangaa.

Tena mkopo wa benk ya afrika? Kama hatuna hela yetu ya ndani basi huo mradi tuhesabu kama imeshindikana.

Kutegemea mkopo kwa huo mradi ni kusema kua huo mradi haupo.
 
Mtoa mada;

Hii inchi INA hela sana aisee.

Sema Wewe tu, ndio hujui...

Waheshimiwa kila kukicha wanasema, lakini bado hamuelewi!

Kila mara TRA inavunja rekodi za mapato, lakini bado hamuelewi!

JUZ JUZ tu tumetoka kuagiza ndege ya 7 kwa cash, lakini bado hamuelewi!

Hivi karibuni msemaji wa CHAMA katoka kufafanua vema kabisa.

Kua kuna pesa zetu nyingi sana ziko kwenye
"HATI FUNGANI AMBAZO HAZIJAIVA"

Lakini bado WATANZANIA hamuelewi, Kila siku mnauliza maswali Yale Yale tu.

Jamani,
HIVI NYIE CHADEMA MKOJE AISEE.

Kwasasa,
Utabidi zijengwe shule maalum za wanachadema, WASALITI na wasiolitakia mema taifa letu.

Wawe wanasoma maalum ya jioni kila siku

Ili kueleweshwa zaidi Mambo mema&juhudi za dhati na za kizalendo zinazofanywa na serikali yetu hii pendwa ya awamu ya 5.

## TUKO KWENYE BEST TRACK##

##MZALENDO NAMBARI WANI##
 
Hawa watu ni waongo sana.

Nimejikuta nmekucheka mkuu, SAMAHANI LAKINI.

ILA
Acha sasa nikutoe ujinga kichwani mkuu,

1. Serikali yetu tukufu&pendwa ya awamu ya 5 haiwez kamwe kusema uwongo.

Mtukufu kila Mara anasistiza
"Msema kweli,mpenzi wa Mungu"

2.Kuhusu Mkanganyiko wa idadi ya viwanda.
Hili nadhani sina haja ya kulifafanua kwa undani zaidi.

Maana limeshafafanuliwa sana hili.

Kwa taarifa yako sasa;
Hiyo tofauti ya kitakwimu kiviwanda inatokana na mabadiliko ya kimfumo wa kielektroniki

Yaani kutoka Ordinary kwenda IPSAS

KAA MKAO WA KULA SASA;

Yaani Hapa viwanda vinarekodiwa katika mfumo mpya kabisa wa kisasa wa kuvitambua kielektroniki.

Sasa kwa bahati mbaya, kuna baadhi ya wajasiliamali wa DSM

Hawakuweza kabisa kuingizwa kwenye mfumo kwa sababu ya mafuriko.

Hata nguzo zilizokua jirani na wao zilianguka,

Juhudi za dhati zilifanyika kuwatafuta kila mahalu, mpk kwenye rada, lakini kwa bahati mbaya hawakupatikana.

KWAHYO
BAADA YA UPEMBUZI YAKINIFU NA USANIFU MAHSUSI

NDO ZIKAPATIKANA HIZO TAKWIMU.

3. Kuhusu HATI FUNGANI viwandani AMBAZO HAZIJAIVA

Hapa kuna viwanda vilikua vimeingizwa kwenye mfumo wa HATI FUNGANI.

Sasa kwa bahati mbaya, Mvua zilinyesha sana maeneo yao.

Hivyo kupelekea kushuka sana kwa jotoridi kwa mikoa mingi sana Hapa nchini.

Hii iliathiri sana viwanda vlivyoko mikoa ya Kaskazini na Nyanda za juu kusini

HIVYO KUPELEKEA
"UCHELEWESHAJI WA KUIVA KWA HATI FUNGANI ZA VIWANDA HIVYO"

Nasisitiza tena;
"Kupungua kwa jotoridi nchini, kulipelekea ucheleweshwaji mkubwa sana wa kuiva kwa hati FUNGANI hapa nchini."

NATUMAI UMENIELEWA;

Cc:Deo Kisandu, C.Musiba,Dr.shika
 
Hahahaha nimecheka kama mwehu, we jamaa ukifanya stand up comedy unaweza ukapiga hela sana. Asante kwa kunitoa ujinga.:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom