VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

Ni kauli mbovu ambazo cjawahi kuona kwa mtu ambaye anagombea urais naogopa sanah mtu anaye tugawa kiu dini au kiukabila mtu huyu ni hatari sanah anaweza kuleta machafuko ndani ya nchi hi,,mtu wa namna hi hafai kuwa ata kiongozi wa nyumba kumi
 
Huyu FISADI PAPA EDWARD LOWASSA ni wa kuogopa kama UKIMWI. Nia yake ni moja tu aingie madarakani (sawa na viruzi vya HIV mwilini), halafu aanze kututafuna. Hajali hata amani ya nchi anachojali ni yeye tu kuingia madarakani. Angalia jinsi anavyotumia udini kuwagawa waTanzania. Kama ulichukia udini wa Prof. Lipumba, huu wa LOWASSA ni mbaya zaidi.

Last edited by a moderator:
Nyie endeleeni na Uzushi wenu,haitabadilisha mawazo ya watanzania kumpigia kura Edward Lowassa
 
Wasalaam Sana
Lowassa akiwa Tabora alikaribishwa na Baba Askofu kutoa neno alitamka kwamba " Naomba mniombee na hasa ninyi Walutheri mnatakiwa kuomba zaidi ili awamu hii tupate Raisi mlutheri kwani nchi hii toka iumbwe walutheri hatujatoa Raisi , Raisi Nyerere alikua Mkatoliki, Raisi Mwinyi alikua muislamu, Raisi Mkapa alikua Mkatoliki na Raisi Kikwete ni muislamu, sasa elezea umma ulimaanisha kitu gani pale
 
Mzee alijisahau kuwa yupo kanisani
 
Naamini ningekua mimi nisingetamka hayo maneno zaidi ningesema " waumini wenzangu naomba mniombee sana nizidi kupata Baraka za mwenyezi Mungu, ombeeni uchaguzi wetu mkuu lakini pia ombeni sana kwa ajili ya amani ya nchi yetu" naamini hapo waumini au walutheri wenzio wangekuelewa hata wakatoliki wangekuelewa na waislamu wangekuelewa lakini haukueleweka.
 
Wasalaam Sana
Lowassa akiwa Tabora alikaribishwa na Baba Askofu kutoa neno alitamka kwamba " Naomba mniombee na hasa ninyi Walutheri mnatakiwa kuomba zaidi ili awamu hii tupate Raisi mlutheri kwani nchi hii toka iumbwe walutheri hatujatoa Raisi , Raisi Nyerere alikua Mkatoliki, Raisi Mwinyi alikua muislamu, Raisi Mkapa alikua Mkatoliki na Raisi Kikwete ni muislamu, sasa elezea umma ulimaanisha kitu gani pale

Kamanda ni matatizo ya kupoteza kumbukumbu hayo.
 
Mkuu sio kujisahau tu lakini Lowassa alionesha udhaifu mkubwa na ni kuwagawa watu kwa misingi ya dini zao kwani lazima Raisi awe mlutheri kwa kua tu walutheri hawajawahi kupata Raisi? Kwa hiyo sala ,Dua na maombi ya makanisa mengine wao hata wakimuombea kidogo au wasimwombee kwake poa tu
 
Hatuangalii hayo mnayosema hata kama mtatapatapa namna gani. Uamuzi wa Tanzania ni mabadiliko tumewachoka CCM na swaga zao za kuwanyanyasa wananchi.

Angalia uchumi unavyodorora sasa hv, uzalishaji wa kusua sua kisa umeme hamna. Watanzania wengi wanakosa ajira kwa kupunguzwa kwenye viwanda. Nishati za uzalishaji tunazo kibao. Imebakia tu watu kupiga dili.

Mwisho october, hatuna namna nyingine. Tuangalie utendaji wa upande wa pili, maana CCM tumewachoka na system yao kupiga deal.
 
HUYU NAE ALIAHIDI KUSAKA WAWEZEKEZAJI WA VIWANDA KUJA TANZANIA.

" am a politicians". "I dont want to take
this time as saying so many political...."

"Simple and clear is only congregations to
you.."

"To the University Korindor... , Co...
Cor,.. Colimbia univeristy to the
assistance we are getting to this hospt"..
 
mwaka huu kazi ipo
 
Back
Top Bottom