VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

Hatuangalii hayo mnayosema hata kama mtatapatapa namna gani. Uamuzi wa Tanzania ni mabadiliko tumewachoka CCM na swaga zao za kuwanyanyasa wananchi.

Angalia uchumi unavyodorora sasa hv, uzalishaji wa kusua sua kisa umeme hamna. Watanzania wengi wanakosa ajira kwa kupunguzwa kwenye viwanda. Nishati za uzalishaji tunazo kibao. Imebakia tu watu kupiga dili.

Mwisho october, hatuna namna nyingine. Tuangalie utendaji wa upande wa pili, maana CCM tumewachoka na system yao kupiga deal.

kuna popote nilipoiombea kura au kuitaja ccm?
 
Wasalaam Sana
Lowassa akiwa Tabora alikaribishwa na Baba Askofu kutoa neno alitamka kwamba " Naomba mniombee na hasa ninyi Walutheri mnatakiwa kuomba zaidi ili awamu hii tupate Raisi mlutheri kwani nchi hii toka iumbwe walutheri hatujatoa Raisi , Raisi Nyerere alikua Mkatoliki, Raisi Mwinyi alikua muislamu, Raisi Mkapa alikua Mkatoliki na Raisi Kikwete ni muislamu, sasa elezea umma ulimaanisha kitu gani pale

mkuu na yule aliyesema misikiti itageuzwa kuwa sunday school vipi... hao udini ndio wamezoea ni ajenda na sera kwao
 
Back
Top Bottom