VIDEO: Kwa nini wazungu hawajui kutingisha viuno vyao??

Ack

Member
Dec 21, 2016
88
87
kiukweli wazungu ni mizigo katika swala la kutikisha mauno yao, huwa nahisi hata ukimpeleka kunako 6x6 atakukingia tu. Nimeamini baada ya kuona jamaa likizungusha kama demu wa kizaramo wakati mademu wa kizungu wanahangaika na kutikisa miili yao.

Hii video inaonyesha kundi la wanawake wakifundishwa kutingisha makalio yao, sasa naona jamaa limewafunika hahahaaaaaaaaaa

jionee mwenyewe.

unamsifia mwanaume kutingisha Kiuno!?

sisi kwetu tunatingisha shingo na kichwa tu, huku tukiwa na panga/sime kiunoni, najua umenielewa
 
Back
Top Bottom