Video: Kwa kauli hizi tata mnategemea kweli nchi iendelee kuwa na amani na mshikamano? Imeniogopesha

Kunahitajika wenye akili wajitokeze kutuliza na kukamata vichaa hawa.
 
CCM hatu support kauli za kipuuzi kama hizo, huyo hizo ni kauli zake, na chama chetu hakina ujinga huo. Naamini CCM itampa adhabu ajue cha kuongea mbele ya hadhira akiomba kura au anyimwe haki ya kugombea

Mtanyima wangapi? Mkiweza mbona itakuwa heri si kwahuyuu tu hata kwa mbuyu
 
Back
Top Bottom