Elections 2010 Video: Kutangazwa kwa Dr. Shein Rais wa Zanzibar

audio16x16.gif
HABARI NDIO HIYO..
 
wote wanzanzibari, wote wapemba, wote ndugu, wanajua kuwa sisi wabara tunawachakachua, sasa wamejitambua hofu kwa mafisa... nimependa style yao ...
 
Ni kukosa busara kwa baadhi ya viongozi wa siasa.Kesho Maalim akinyimwa umakamu ataanza kukimbila Umoja wa Mataifa na kelele nyingi
yetu macho. CCM hawana haya hawa watu sijui waliumbwaje? Mimi nitaendelea kuimba Chadema Oyee hata miaka mingine mitano na CCM kuzimu ni nyumbani kwao.
 
Tangu Seif arejeshewe mshiko na marupurupu yake ya uwaziri kiongozi mstaafu aliingia rasmi kwenye majaribu kiasi cha kuwauza wenzake ingawa hili haalijui. Hili la makubaliano ya kulala kitanda kimoja ndiyo usiseme. Aibu na hasara kiasi gani! Anyway mambo ya wazenj waachie wenyewe. Heri wao wana lau GNU japo naye si mnyama mwema.
 
CUF walionyesha ungangari dhidi ya CCM tangu uchaguzi wa 1995 bila ya kupata sapoti ya Chadema na vyama vingine, sasa wamekubali yaishe!!! Kwani hawataki damu ya Mzanzibari imwagige tena wala kuwa na wakimbizi nje yanchi "enough is enough"!!!!!!! Wazanzibari ni wamoja na ni ndugu hivyo maslahi ya nchi kwanza dhidi ya vyama vya siasa!!!

Jee, Chadema ndio kusema sasa munarithi ungangari wa CUF? Na ikiwa CUF imewachukua miongo 3 kutambua kosa lao la kuweka UCUF mbele badala ya utaifa, chadema itawachukua miaka mingapi????
 
kwa hili sio njaa ni strategical maalim Seif ameshinda na ameona mbali


maana unaangalia kua jee ukiendeleza yale yale itasaidia nn ?

kwanza hamtaingia madarakani na yale mnayoyalalamikia hayatafanyiwa kazi

jengine kuingia kwake kutasaidia kufanya mabadiliko kwenye tume na kujenga uwezo wa kuwa na demokrasia pana na kidogo kidogo kuweza kuwa na uwanja mzuri wa ushindani


kwa mtu mwenye kuangalia demokrasia na si maslahi binafsi watamsifu na kuona ushujaa wake
 
Back
Top Bottom