Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,875
2,000
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."

TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."

Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
 
Attachments

  • File size
    10.1 MB
    Views
    0

JOHNKEKE

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,246
2,000
Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,631

..hizi ni propaganda za kitoto sana.

..gari lake linaonyesha risasi zilipigwa toka upande gani.

..pia ameumia miguu yote na maeneo mbalimbali.

..suala la mguu upi umeumia zaidi halitokani na upande zilipotokea risasi.
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,235
2,000
Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Hivi ukimkuta mtu na akili zeke timamu anatoa hoja ya kipumbavu kama hii yako, tumueleweje huyo mtu? Au labda unataka kudai kuwa Mh. Lissu hakuwa na dereva, alikuwa anajiendesha mwenyewe! Mbona hapo angalau dai lako lingekuwa na maana?

Kama risasi zilipigwa kulia mwa gari alikokaa Lissu halafu dereva aliye kushoto hakupatwa na risasi, mbona hii lingeeleweka hata kwa chizi asiye na akili? Vipi JOHNKEKE, u mzima kweli au ndiyo yale yale ya kukabidhi akili zenu pale mlangoni Lumumba?

..hizi ni propaganda za kitoto sana.
..gari lake linaonyesha risasi zilipigwa toka upande gani.
..pia ameumia miguu yote na maeneo mbalimbali.
..suala la mguu upi umeumia zaidi halitokani na upande zilipotokea risasi.
Kwa kusema kweli dai la JOHNKEKE, limenishangaza sana. Kuna kitu hakiko sawa na hizo products za mikesha ya mwenge na ndio maana hadi leo wanamlilia dhalimu mwendakuzimu. Uovu wake ulivyomtesa, siku corona ilipompigia hodi ikawa twende!
 
Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,884
2,000
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."

TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."

Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Kichwa
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
4,032
2,000
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Wewe ukiitwa na polisi tu mishuzi inatoka,unapanic huyu alimiminiwa risasi 37!19 zikaingia mwilini!?surely akizungumzia hili tukio sio kutafuta huruma ya wananchi,it was bad,babaric,inhuman,
Kama tukio la Hamza,Askali wamepigwa risasi moja moja,bahati mbaya wakafariki,mpaka leo watu wanamajonzi,
Lisu alishambuliwa mchana kweupee!!
Kama huijuhi Dodoma,sehemu alivyoshambuliwa ingekuwa ni Dar,ni eneo kama Mikocheni kwa mawaziri!(makazi ya mwaziri)
 
Uwazitu

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
1,420
2,000
Na wakamficha Dereva mpaka Leo.
Risasi kibao zipigwe kutokea kushoto, alafu zitue kwenye mguu wa kulia!
Alafu Dereva aliyeko kulia isimpate risasi hata moja! Kisha atoreshwe kwenda nje ya nchi!
Alafu wazee wa propaganda za mapicha picha, CHADEMA, wasionyeshe hata picha moja mpaka Leo!
Hakika tukio Lina maswali mengi ambayo bado hayajapata majibu!
Aligeuka akalala kifudifudi ,(akalalia tumbo) hivyo mguu wake wa kulia ukawa upande wa wasiojulikana wanaojulikana.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,901
2,000
..hebu tujikumbushe interview hii ya Tundu Lissu.Unajua mkuu 'Joka Kuu', ukifikiria kazi na bidii kubwa iliyokwishafanywa ili kuiua CHADEMA hadi leo hii tukishuhudia ugaidi wa Mbowe na bado CHADEMA inadunda!
Sijui niseme nini?

Hivi kweli CCM inahitaji kuwa 'desperate' kiasi chote hicho ili ibakie madarakani? Haiwezi kujiamini na kubaki madarakani kwa wananchi kuona kazi nzuri wanayowafanyia wananchi?
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,864
2,000
Hizi attachment za namna hii za audio ndio nzuri hazisumbui kwenye kufungua, tofauti na video zinasumbua kufungua kwenye app ya jf.
 
ndammu

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,348
2,000
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Akiulizwa atajibu,..

Uropokaji wake lakini mnamuogopa sana.

Baada ya kujibu hoja zake mnatafuta watu wamuue kweli hizo ni akili au ujinga?
 
ndammu

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,348
2,000
Hivi ukimkuta mtu na akili zeke timamu anatoa hoja ya kipumbavu kama hii yako, tumueleweje huyo mtu? Au labda unataka kudai kuwa Mh. Lissu hakuwa na dereva, alikuwa anajiendesha mwenyewe! Mbona hapo angalau dai lako lingekuwa na maana?

Kama risasi zilipigwa kulia mwa gari alikokaa Lissu halafu dereva aliye kushoto hakupatwa na risasi, mbona hii lingeeleweka hata kwa chizi asiye na akili? Vipi JOHNKEKE, u mzima kweli au ndiyo yale yale ya kukabidhi akili zenu pale mlangoni Lumumba?

Kwa kusema kweli dai la JOHNKEKE, limenishangaza sana. Kuna kitu hakiko sama na hizo products za mikesha ya mwenge na ndio maana hadi leo wanamlilia dhalimu mwendakuzimu. Uovu wake ulivyomtesa, siku corona ilipompigia hodi ikawa twende!
Hizo hoja zako zishajibiwa sana tafuta usome uelewe kila siku usilete vihoja kama hivyo.

Kiufupi kwanini serikali ilikataa uchunguzi huru ikiwa serikali ya laanatullah Magufuli haihusiki?

Wewe hutaki Lissu afedheheke ikiwa chadema ndio waandaaji wa shambulio lake.

Kwanini baada ya tukio cctv camera ziliondolewa baada ya tukio na hakukuwa na ulinzi siku hiyo kwnye eneo lá tukio?

Ni bora mda mwengine mfiche ujinga wenu tu.
 
Tough lady

Senior Member
Jul 24, 2013
116
250
Lisu ni mropokaji tu!! Hana lolote, aendelee kutafuta huruma ya wananchi. Kila siku story ile ile, kupigwa risasi, kupigwa risasi
Halafu huwa nashangaa anasema waliompiga anawajua, si afungue mashtaka na aweke ushahidi? Huyu jamaa dishi lqke huwa nalitilia sana mashaka. Anaropoka mno na hakuna hata moja analoweka evidences.. Ni kama mhubiri tu anayeoteshwa ndoto akaja kuzitolea ushuhuda. Huyu angepata uraisi nchi ingeenda pabaya zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom