Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
3,502
2,000
Sijawahi kuwaza kama jf kuna mbumbumbu kiasi hiki...sorry to say that.

Mimi naongea kauli ya Lissu wewe unaleta mambo ya Magu kuwa muongo..inahusiana vipi?
Hapa inaongelewa habari ya hangaya wewe unaleta habari Lissu, wewe si juha?
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,856
2,000
You may not like this. But it happened...

Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla....

Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja kabla bali kilichonishitua mimi ni sababu za kuwahi kwake mapema kama anavyosema Tundu Lissu hapo...

Kwamba, eti ni ili kumwandalia Rais nafasi ya kukutana na Rais Joe Biden na kupiga picha naye. Bahati mbaya alikataliwa, hakupata kwa sababu zinazoelezwa kuwa ni utawala wake kuinajisi demokrasia nchini kwake...!

Na kama asemayo TL ni kweli [na ni kama kweli kwa 100%], basi bila shaka utawala wa CCM unàelekea ukingoni kwa sababu haiwezekani propaganda na udanganyifu uvuke mipaka mpaka kwa Rais Joe Biden wa USA...!!

Thank God kwa kuwa hawakufanikiwa kupitisha upuuzi wao kwa taifa hilo kubwa na rafiki yetu....

Msikilize Tundu Lissu...
View attachment 1970431
Lissu ameishiwa. Eti rais alikuwa akitaka akutane na kupiga picha na Biden. Ili iweje? Mbona Magufuli hakutoka nje kwenda Ulaya lakini dunia ilimfuata Tanzania? Huu licha ya kuwa urongo ni tabia za kikoloni tena utumwa wa kiakili wa watu kama Lissu
 

tapemeasure

Senior Member
Jan 15, 2020
136
225
Lissu kiboko ya CCM, amekosesha Chief Hangaya fursa ya kukutana na "beberu" wa dunia.
Hahahaha muda ndo unaongea. Wao waendele kukosesha fursa ila hko kinacho tawala ndo kinasidi kuweka mikakati ya kujisambaza na kujiongezea ngome.

Ndio unaweza sema ccm ni wezi na wanatumia polisi pia. Ila mimi na jiuliza kama ukishajuwa adui yako kaweka mikakati ya kuiba na kutumia polisi, kwanini na wewe usitafute mbinu ya kuiba zaidi na kutumia polisi zaidi.

Ishu ni kucheza na fursa tu sasa CDM fursa hawazitaki wao wanapiga kelele mitandaoni na kulalamika kwa mabeberu.
 

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,517
2,000
Hivi na wewe unajihesabia ni mtu, unalazimisha kabisa uitwe mtu mweusi.
Sisi wafrika hatujawahi kuwa watu, sisi ni manyani na ni zaidi ya manyani tuna roho za kinyama, tuna roho mbaya sana.

Wazungu rafiki zake Mungu. Huo ndio ukweli mchungu.

Ujinga ni kipaji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom