Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka

Umslpogaaz

Member
Apr 14, 2008
94
56
Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka

[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]
 
Huyu polisi alimanusara Jana nivunje tv yangu kwa hasira. Sasa unataka nivunje simu yangu mkuu?

Kweli mkuu, hata mimi nilipandisha mori! The body language says it all, it is ****!!!

Katika suala zima la utekwaji wa Dr. Ulimboka serikali nzima ya jk na vyombo vyake vya dola wananuka! Uongo uliokubuhu hata waliokuwa wanajifanya hawana haya (kama Kova na wenzake) wamefika mahali wanashindwa kuzungumza bila kuficha nyuso zao.

SHAME ON YOU ALL!
 
Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka

[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]

From the look this guy anaongea akiwa na wasi wasi mkubwa maana anajua fika kwamba he is not telling the truth to the World .Anasita sita mno na hawezi hata kuangalia Camera .He is missing a lot of things if you connect the dots utajua kwamba bado wanatapatapa .Maswali ni mengi zaidi ya mwanzo walivyokuwa kimya
 
Kweli mkuu, hata mimi nilipandisha mori! The body language says it all, it is ****!!!

Katika suala zima la utekwaji wa Dr. Ulimboka serikali nzima ya jk na vyombo vyake vya dola wananuka! Uongo uliokubuhu hata waliokuwa wanajifanya hawana haya (kama Kova na wenzake) wamefika mahali wanashindwa kuzungumza bila kuficha nyuso zao.

SHAME ON YOU ALL!
Tena kova Hana kigugumizi lakini Jana alikuwa Ana stack Kama cd yenye scratch
 
We cannot rely on the nonsense given by Kova. Why do thery make us stupids? It is high time for an independepent international commision to be lounged to make an independent investigation of who were behind this dehumanisation.The present governmet cannot give the real truth.
 
Video: Kova akitangaza kukamatwa kwa mtekaji wa Dr. Ulimboka

[video=youtube_share;O5eHBbINXLU]http://youtu.be/O5eHBbINXLU[/video]

Ndio ushirikiano wa Afrika Mashariki. Sasa ina maana majambazi sugu watakuja kutoka Kenya.[na labda changudoa wa hapa watakwenda Nairobi]
 
Hii inatufanya tufikirie mara mbili juu ya 'majambazi' ambao police imetuonesha kuwa walikamatwa kwenye matukio mbalimbali. Nao walikuwa wa kuchongwa kama huyu Mkenya? Na tuendelee kuliamini Jeshi la police?
 
kwanza hiyo body language, vile anatetemeka na kuwa na wasiwasi utazani gangstar wanamrudia yeye, ajajajjajaja........
eti Gangster, si afadhali angesema hata ni AL shabaab wanahusika na huo utekaji?????/

Hii kitu inaitwa serikali bana, inajitahidi sana kupata vichaka vingi kwenye mihimili yake ya Dola, na Sio kwamba JK hajui game analolicheza, sema jusi jusi tu, alipokua anataka ulimboka awe killed, ikawa ile button yaku "KILL" haikufanya kazi uzuri......

Chezo naona yupo leo laivu sema chenga nyingi simuoni..
 
Back
Top Bottom