Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

Ukiona muisrael anapiga majengo ujue anakaribia kushindwa manake haelewi anashambuliwa kutokea wapi akipiga jengo hili shambulizi linatokea upande mwengine anapiga jengo hili anapata pigo na pia taarifa inatolewa kwa uongo huko Israel uharibifu ni mkubwa na waliokufa wanakaribia kuwa sawa na Palestine safari hii haaamini macho yake jinsi anavofanyiziwa na waarabu analiwa kiboga na km mwanaume kweli au ana jeshi imara atoke wapigane vita ardhini km hawarudi marekani kuomba hifadhi burukenge hawa!!
 
Kama walivokua wanataka kumuondoa gadafi walizima vituo vyake vya habari wakawasha vituo vyao vikawa vinaripoti upngo eti gaddafi anapiga wananchi wake kwasabbu hawamtaki na wale walionekana wakiandaamana hawakuwa wananchi wa gadafi walipelekwa na mmarekani so hatuamini vyombo vyao vya habari mzayuni ameukalia wa mwarabu safari hii anaukatikia ***** zake
 
Wanaringia nguvu walizonazo
Ila sio mbaya,
Ni mafunzo pia
Labda itawazindua baadhi ya wadau
, ukiona giza nene ujue kunakaribia kucha
 
We mkenya hiv una akili kwel..hakuna bomu la kutupwa na ndege linaweza shusha hilo jengo kwa namna hiyo..hilo jengo limekua demolished kwa...kabomu kajuu ni ka kuzugia tu...na ndo kilichofanyika hata 11/9...na ndomana siajabu watu wa humo waliambiwa watoke kwenye hilo jengo....kinachofanyika ni kwenye foundation ya hilo jengo vinawekwa vilipuzi kwa mshazali..yaan kwenye slope. Vinachimbiwa kwenye nguzo zinazoshikilia jengo halaf vinalipuliwa....kama kombora la juu ungeona uharibifu unaanzia juu..punk
The best comment ever,
Yaani umewavua nguo kabisa
Big up
 
Hivi hivi ndio waliangusha wto kisha wakasingizia Taliban,
Halafu unaambiwa kuna wazungu weusi huku wanashangilia wakati huyo huyo bwana wao anamuita wanayedai mungu wao ni..... Dah nashundwa hata kuandika,
Kweli kuna watu wana akili tope
 
Vita kati ya Israel na Iran ni Vita ambayo haitatokea na ikitokea dunia itasimama
Iran ana nini mpaka dunia isimame? Vikombora wLivyonavyo wenzao walikuwa nayo tokea vita ya pili ya dunia.
 
We mkenya hiv una akili kwel..hakuna bomu la kutupwa na ndege linaweza shusha hilo jengo kwa namna hiyo..hilo jengo limekua demolished kwa...kabomu kajuu ni ka kuzugia tu...na ndo kilichofanyika hata 11/9...na ndomana siajabu watu wa humo waliambiwa watoke kwenye hilo jengo....kinachofanyika ni kwenye foundation ya hilo jengo vinawekwa vilipuzi kwa mshazali..yaan kwenye slope. Vinachimbiwa kwenye nguzo zinazoshikilia jengo halaf vinalipuliwa....kama kombora la juu ungeona uharibifu unaanzia juu..punk
Wewe huna ujualo. Inamaana wanajeshi wa Israeli walienda kwenye hilo jengo ndo wakaweka hivyo vilipuzi sio?
 
Ukiona muisrael anapiga majengo ujue anakaribia kushindwa manake haelewi anashambuliwa kutokea wapi akipiga jengo hili shambulizi linatokea upande mwengine anapiga jengo hili anapata pigo na pia taarifa inatolewa kwa uongo huko Israel uharibifu ni mkubwa na waliokufa wanakaribia kuwa sawa na Palestine safari hii haaamini macho yake jinsi anavofanyiziwa na waarabu analiwa kiboga na km mwanaume kweli au ana jeshi imara atoke wapigane vita ardhini km hawarudi marekani kuomba hifadhi burukenge hawa!!
Waarabu weusi mnajua kujitapa kweli kweli lakini kichwani akili matope
 
We mkenya hiv una akili kwel..hakuna bomu la kutupwa na ndege linaweza shusha hilo jengo kwa namna hiyo..hilo jengo limekua demolished kwa...kabomu kajuu ni ka kuzugia tu...na ndo kilichofanyika hata 11/9...na ndomana siajabu watu wa humo waliambiwa watoke kwenye hilo jengo....kinachofanyika ni kwenye foundation ya hilo jengo vinawekwa vilipuzi kwa mshazali..yaan kwenye slope. Vinachimbiwa kwenye nguzo zinazoshikilia jengo halaf vinalipuliwa....kama kombora la juu ungeona uharibifu unaanzia juu..punk
Hahaha.. Chunguza vizuri,

Yani huo muda wa kuanza kuchimbia vitu chini ya nguzo wanautoa wapi?

Unaona kabisa hata waandishi wa habari hawajapewa hata muda wakutoa vitu vyao zaidi wao tu alafu wewe unasema kuchimbia vitu kwenye nguzo?

Watu wapo serious mkuu.

Kuna jengo lilishushwa juzi nalo ilikuwa live, Israel ilirusha vikombora kama vi 3 hivi kwa pembeni ili kuwaonya watu watoke ndani na mtangazaji wa bbc akawa anasema hayo makombora ni ya maonyo na kiashiria kwamba hilo jengo baada ya muda mfupi kitashushwa na kweli dakika 3 au 5 baadae yakatupwa makombora 2 yaliyofanya lile jengo lishuke kama matope tu.
 
Wewe huna ujualo. Inamaana wanajeshi wa Israeli walienda kwenye hilo jengo ndo wakaweka hivyo vilipuzi sio?
Nikishaona akil ndogo huwa hata sjarib kukuelewesha....na ndomana hilo jengo limeanguka vertical.
 
Hahaha.. Chunguza vizuri,

Yani huo muda wa kuanza kuchimbia vitu chini ya nguzo wanautoa wapi?

Unaona kabisa hata waandishi wa habari hawajapewa hata muda wakutoa vitu vyao zaidi wao tu alafu wewe unasema kuchimbia vitu kwenye nguzo?

Watu wapo serious mkuu.

Kuna jengo lilishushwa juzi nalo ilikuwa live, Israel ilirusha vikombora kama vi 3 hivi kwa pembeni ili kuwaonya watu watoke ndani na mtangazaji wa bbc akawa anasema hayo makombora ni ya maonyo na kiashiria kwamba hilo jengo baada ya muda mfupi kitashushwa na kweli dakika 3 au 5 baadae yakatupwa makombora 2 yaliyofanya lile jengo lishuke kama matope tu.
Ndo nakwambia sasa jengo linalopigwa na missile kutoka juu huwa halianguki vertical kama hilo...ni mambo ya kitaalam zaid unaweza usielewe...niishie hapa..
 
Wewe umekariri sana!

Watu mpaka wana drone za bila rubani yani anakuchapa akiwa anakunywa kahawa ofisini kwake sembuse hilo?

Hizo kombora zilikuwa zinapiga kwa chini ubavuni kabisa kwenye msingi .

Achana na teknolijia mkuu
 
Back
Top Bottom