dah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...
hapo ndio shida inajitokeza...serikali imeipa kipaumbele kilimo cha maua na kuipa bega baridi kilimo cha mahindi...sielewi kwanini nchi kama Ethiopia ina chakula ila tukisema ni kiangazi, ili affect ukanda huu wote...itabidi tukuze kilimo...Poleni sana, nguvu mliyoweka kwenye kilimo cha maua wekeni pia kwenye mazao ya chakula.
dah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...
sijui kama usemi huo una mantiki ama ukweli wowote ila nimesikia watu wakilalamikia hilo...Kama kweli basi hiyo ni tiketi ya kumrudisha Uhuru Kiambu akalime.
hii ni important sana..ume raise swala nzuri sana bro...wakenya wanalalia ugali pekee yake...ukienda nchi nyingi za ng'ambo huwezi ukapata staple foods...watu wanakula chakla tofaut tofaut...si lazma tuwe tunakula ugali kila siku...tujaribuni pia mihogo na michele...hata waswahili naskia wanakula mihogo na vyakula mbali mbali...mimi hapa nashangazwa na video hii kwasababu sina haraka na ugali ila natoka upande huo huo wa western...Kwanini chakula lazima kiwe tu ugali, si tujifunze kula vile vyakula vingine pia?
Kama life imekuwa hard bana, lazma tuadapt.
Viazi na nduma zimejaa hivi, rice na wheat, mtama, matoke na mhogo......tujaribuni kidiversify our diet tadadhali.
But catch me dead eating ugali wa wimbi/ mtama (dont know which one is which).
Watu wa western bana......tubadilikeni!!!!
hii ni important sana..ume raise swala nzuri sana bro...wakenya wanalalia ugali pekee yake...ukienda nchi nyingi za ng'ambo huwezi ukapata staple foods...watu wanakula chakla tofaut tofaut...si lazma tuwe tunakula ugali kila siku...tujaribuni pia mihogo na michele...hata waswahili naskia wanakula mihogo na vyakula mbali mbali...mimi hapa nashangazwa na video hii kwasababu sina haraka na ugali ila natoka upande huo huo wa western...
Lol! the lady should have been told to eat twice as much chapatis and mcheles.... then she will be okay...I was listeninf to this lady on BBC Focus on Africa, aliukizwa hiyo swali.....mchele na mgano yako kwa wingi tu, na bei ni ya nafuu kuliko ya unga mahindi kwa hivi sasa, mbona wasiyale hayo tu?
Her answer:
Noooo! We cannot just eat rice and chapatis. Nooo! Those are very light foods, they cannot fill our stomachs properly!
kweli kabisa..nchi za kiarabu huwa hata hazilimi sana ila ikija kwa swala la food secirity wako sawa usalmini...but kenya still has to step up its game..ikiwezekana tuwe na mamilioni ya ekari ya mashamba yanayonyunyuiziwa maji...Hii ndiyo fursa ya UTANGAMANO. Siyo lazima kila mtu alime mahindi ndani ya EAC.
hiyo ni Uhuru anapigwa vita tu...mkidanganyika kuchagua kwa mihemko mtajuta,chagua Uhuru amalizzie SGRdah! this is one of the failures of the jubilee administration...food security...hivi watanzania si mtusaidie na mahindi jameni...jamaa hapa haswa wale wa magharibi ya kenya wanahangaika kwel kwel...
haikosi unapenda kula...sijui nikualike Nairobi siku moja uje ujifurahishe..'siniseme!! kama napenda kula!'Hakuna kitu kizuri kama chakula, msibaki kulalamika fanyeni mabadiliko sasa, tumieni ardhi vizuri iyo
kura yangu ni ya Uhuru Kenyatta...hii ni kwa sababu wale wengine hawana sera zozote zakuwapa wananchi...kazi yao ni power-hungriness tu...odinga hawezi akatufikisha popote...hiyo ni Uhuru anapigwa vita tu...mkidanganyika kuchagua kwa mihemko mtajuta,chagua Uhuru amalizzie SGR
I dont know if it is possible, but Kenyans need to change their attitude regarding ugali wa mahindi.Lol! the lady should have been told to eat twice as much chapatis and mcheles.... then she will be okay...