Uchaguzi 2020 VIDEO: Katibu wa BAVICHA na Wwenyekiti wa UVCCM wafikia muafaka na kupeana mikono baada ya mjadala mzito

Acheni woga mdahalo lazima atake asitake😃😃😃
AENDE KWENYE UKHTUBI MAANA NDICHO KIPAJI CHAKE MANENO MENGIII KWELI NA MUNGU SIJUI KWA NINI HUPANGA HILI CHUNGU HATA MTAANI KWAKO WATU WENYE MANENO MENGIII VITENDO OOOOO
 
HKL VS PCM wapi na wapi.
Aka!
Hivi ndo vipimo vya kisiasa etiee!!
Elewa: ukiwa na brain ya kukurupuka huwezi badilika utakurupuka tu hata mbele ya wapiga kura wako alafu WANAKUBWAGA sababu unakurupuka😎
 
AENDE KWENYE UKHTUBI MAANA NDICHO KIPAJI CHAKE MANENO MENGIII KWELI NA MUNGU SIJUI KWA NINI HUPANGA HILI CHUNGU HATA MTAANI KWAKO WATU WENYE MANENO MENGIII VITENDO OOOOO
Ungekuwa unamuogelea mtu mwengine ningekuelewa lkn sio huyu tunamjua vizuri anapenda sifa na kusifiwa ukimkataa LIVE kamawana KAGERA anasema kamata wanenifanyia fujo😂😂😂😂
 

Wewe na akili yako hujui JPM ni President aende katika mdahalo na mwendawazimu Tundu Lissu, si anaweza hata kumrukia akamg’ata na meno! Acha TL afanye mdahalo na akina membe ambao ni saizi yake. Hata Prof Lipumba siyo saizi yake huyo TL. Uwe na adabu wakati mwingine
 
Wewe na akili yako hujui JPM ni President aende katika mdahalo na mwendawazimu Tundu Lissu, si anaweza hata kumrukia akamg’ata na meno!
Akili zako ni sawa na huyu mwenzio hata kuongea hawezi anajazba kama babaenu😎
 
Back
Top Bottom