Video: Karume, Okello na Babu pamoja masaa baada ya Mapinduzi - Wasikilize mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video: Karume, Okello na Babu pamoja masaa baada ya Mapinduzi - Wasikilize mwenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 2, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuna habari nyingi sana kuhusu Mapinduzi na kuhusika kwa Nyerere na watu wa bara...

  [video=youtube_share;-sMDkCSC_5g]http://youtu.be/-sMDkCSC_5g[/video]
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
 3. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahsante Mwanakijiji naomba kama utaweza mfikishie video hiyo bwana
  Ahmed Rajab wa gazeti la raimwema uwenda ingemsaidia katika makala zake kuhusu ukweli kuhusu mapinduzi ya zanzibar.
   
 4. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji it looks like Muungano unaelekea kaburini. Sababu si kwamba watu hawajui ukweli kuhusu muungano, la hasha, ni kwamba kuna watu wanataka iwe hivyo. Hii ni move ya baadhi ya watu wanaotaka usultani urudi Zanzibar, so regardless of what Okello, Karume and Babu said, baadhi ya watu Zanzibar wanaona kuwa bara ina wanyonya wanaona kuwa wabara si wenzao, wenzao ni warabu so they need to be with them. Naona mtoto akililia wenbe ni bora apewe, aachiwe....
   
 5. c

  chama JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Lahaula! Mbona sikusikia wakimtaja Nyerere au kambi ya Sakura

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 6. F

  Falconer JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kwanini katika mazungumzo yenu munataja waarabu?. Kila pakitokea tatizo la muungano, ooo waarabu. Kwani waarabu wamefanya kitu gani kikubwa. Hao kina Sultan Jemshid ni wazanzibari. Hao wa shirazi, asili yao ni iran lakini ni wazanzibari. sababu hamuijui historia ndiyo munahangaika sana. Na huyo Babu pia asili yake ni muarabu lakini ni mzanzibari. wazanzibari ni watu mchanganyiko. Hii mambo yenu ya ukabila mutakuja kuuana wenyewe kwa wenyewe. wachagga, wamasia, wantamwezi na kadhalika kila mmoja anajiona ni yeye tu. Nyerere aliweza kuitawala Tanzania kwa kuwadumaza. Akawanyima elimu mukawa wajinga. Mbona alikuwa haji Zanzibar, kwa sabau anajua wazanzibari vichwa ngumu hawataki upuuzi. Sasa muulizeni Rais Kikwete joto analopata na wazanzibari. Sii hatutaki muungano. Muungano ni dhuluma. Hakuna mkataba wa muungano. Tumekwenda UN, High Court ya Tanzania kuilazimisha serikali itoe mkataba na hawana kwa hivo muungano ni FAKE. Ni njia ya kuikolni Zanzibar na kuibia rasili mali yake.
   
 7. c

  chama JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hili nalo mpaka tukufundishe?Soma tena historia huna ujaulo! Huo muungano umemnufaisha mbara gani? Zaidi ya kuwanufaisha nyie hata sisi hatuutaki.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 8. F

  Falconer JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Basi lilobakia ni kuachana kwa salama kila mtu achukue nchi yake. Haina haja kutulazimisha wakati sisi hatuutaki Muungano.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Mna raslimali gani za kuibiwa na TAnganyika? nadhani wengine mnaishi kwenye fantasy!
   
 10. c

  chama JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanakijiji
  Hao watu wanadai rasilimali zipi katika historia Zanzibar rasilimali yao kubwa ilikuwa karafuu; haya mafuta hayapatikana ni fununu tu; roho zimewatoka; hivi kwa akili yao mafuta yakipatikana kwenye rasi za Zanzibar yakosekana Bara? Roho zao dhaifu sana. Hao ndio waliouwa wa kwanza kudai nishati si sehemu ya muungano wamesahau tuliwalisha kwa pamba; mkonge na kahawa hadi leo hii wanalishwa na dhahabu ya Geita; hebu waangalie Bajeti yao kama mapato yao yanaweza kukidhi matumizi. Ni bora muungano ufe kabisa tunajibebesha mzigo usio na fadhila.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 11. F

  Falconer JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mwakijii na Chama, sema kweli wacha pumba. Palipotokea mapinduzi zanzibar, tulikuwa na dhahabu amabyo ilikuwa inawezesha kukimudu kisiwa cha unguja na pemba kwa miaka 25. Tulitoa pesa zetu kujenga kuanzisha BOT. Tulipopiga kele sana kuwa hatupati kitu ndio ikawekwa kamati ya bunge na ndio majuzi tu imeppitisha kuwa tuna haki na inatakiwa tupewe katika mchango wetu. Mbali na karafuu, taxes zetu munachukua bara, pato la baharini na bandari yetu. Pato la utalii,misaada ya Zanzibar kutoka nchi wafadhili zote munachukua nyinyi. Biashara zote za zanzibari munatuibia ushuru. Nyinyi Hamujatulisha sisi kabisa. Vyakula kutoka bara tunanunua, umeme munatuuzia kwa bei ya juu kabisa. Kila kile unahisi kinatoka bara huwa tunanunua kwa pesa taslim. Usisikie maneno ya mabarazani eti wazanzibari wanapata bure. Hakuna bure, kwani nyinyi ni wajomba zetu?. Hata ukienda kwa mjomba siku hizi anakuuliza umpe chochote. Kweli munaakili timamu eti munatupa vykula bure. Hahhah ni kichekesho.
  Wannaishi kwenye Fantasy world ni nyinyi watanganyika maana hata hamuoni kinachoendelea nchini mwenu. Mafuta ya Zanziabr mumeyaweka kwenye muungano lakini gesi ya bara haimo, hahah, ni uerevu huo?. Bwana kila kitu kuhusu huu muungano ni ujuaji na ubabe tu hakuna haki na usawa. Kwani waliungana nchi mbili kwa masikazano ya Nyere na Karume hamuna karatasi waliotia sainai hatanyaraka za UN walizokwenda kutaka kiti kimoja cha UN hamuna sign ya Zanzibar. Aliepeleka hizo karatsi ni attorney gen. wa Tangayika. Hata Nyerere alipokwenda OAU, viongozi walishangazwa sana kusikia habari za muungano maana wote walijua kuwa ile ilikuwa ni njama.Sasa hivi, basi tena kuburuzwa, hatuna mahojiano mengi, hatuutaki muungano.(98% ya wazanzibari hawautaki muungano). REFERENDUM FIRST.
   
 12. c

  chama JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nyie 98% hamuutaki sisi 100% hatuutaki; hata uanchoongea hukijui badala kusikiliza mihadhara ya uamsho jielemishe kidogo upate kuelewa; upeo wako upo chini sana; Sultan Jemshid aliifanya Zanzibar kama pig bank yake hiyo dhahabu ya miaka 25 alikuhadithia nani? na aliitoa wapi? usijidanganye ndugu muungano hata sisi hatuutaki.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 13. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wanzanzibari mna akili za kuku kweli, hivi huo mkoa mmoja ndo uulishe Tanganyika kweli? Pande ipi ya Zanzibar ina dhahabu? Bandari yenu haina watoza ushuru kweli? Mna vyuo na shule ngapi moaka leo?

  Ngoja niwambie nyie ndo mnatunyonya, hatuna kitu cha Tanganyika bali Muungano wakati nyie nanyi humo humo mnakula jasho letu, nyie mambo ya Zanzibar nani anawaingilia.

  Wajinga kabisa natamani ufe hata leo thn si ndugu zenu ni waarabu wa Omani na Iran ndo damu yanu, lakini watumwa wa bara wakaja letwa kulima karafuu wote walikufa ila Zanzibar palikiwepo watu toka kuumbwa kwa ulimwengu na ndugu wengine walitoka Arabuni.

  NENDENI
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kuongeza ufahamu wangu wa mambo, naomba nielimishwe hii heading inayosema "Karume, Okello na Babu pamoja masaa baada ya Mapinduzi - Wasikilize mwenyewe"

  inakusudia masaa mangapi hasa, maana documentary inasema hivi

  ......" From now on the story that we tell is one sided. This is the council of revolutionist. We were not allowed to interview their opponents, they are still in prison" [5:10-5:20]

  Ahsanteni

  *Kama ni masaa [machache] baada ya mapinduzi kweli mtangazaji angesema "they are still in prison?" Mzee Mwanakijiji
   
 15. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,569
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yaani kuna vitu vingi hawa jamaa wa Zanzibar hawajui, umeme mnanunua na juzi tuu mmesamehewa madeni ya mabilioni! Unit ya umeme huku bara ni bei juu zaidi ya nyie wakati umeme unatoka kwetu, badala ya kujipendelea sisi mnapendelewa nyie watu msio na shukrani! Mafuta ni kweli mmeyatoa kwenye mambo ya muungano lakin hamjui vitu vingi, ni afadhali msingeyatoa, huku bara ndio kwenye reserve kuuuubwa, mngekuwa mnafanya uchunguzi!

  Mimi naona hawa jamaa tunawang'ang'ania bure! Tuwaache waende zao, hawatusaidii chochote zaidi ya kutuumiza, kwani wanatusaidia kipi? Hata maskini kabisa wa huku Tanganyika wanawachangia kwenye ghalama za umeme za kwenu! Na sisi hatuwataki!

  Harafu mnachukua nafasi za ajira za kwetu huku, Sasa tunakopa hadi mawaziri kwenu wakati hamna chochote, hatuwataki kabisa, ni viongozi wetu tuu wanawapenda! Ng'ang'a nieni muondoke mtupunguzie mizigo!
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kisha niulize tena

  Hivi Mwanakijiji unataka tumuamini huyu Babu ambae kwenye hiyo clip uliyotuonyesha amejidhihirisha mwenyewe kuwa ni mwenye kusema atakalo na kulipachika koti la kisiasa?

  [7:08-]

  Kwa mujibu wa Babu mwenyewe, yeye ni muongo....na wala hajutii, ndio kwanza anacheka kwa furaha :confused2:
   
 17. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wazenji bado mna safari ndefu sana, mmekurupuka kudai kuuvunja muungano kwa kigezo kuwa mnataka uhuru wa kujitawala wenyewe wakati elimu tu ya kutawala akili na mawazo yenu hamna. Komaeni kwanza kusoma ndio baadae mjiondoe kwenye muungano vinginevyo tutashuhudia vichekesho kutoka kwenu majirani zetu. Eti mna reserve ya dhahabu for 25 years, jinsi mlivyokuwa wehu nyie mngekuwa na dhahabu si mngeuana kila siku maana hayo mafuta tu ni hadithi za kusadikika lakini angalia mnavyotoa macho lol!! Mungu wabariki wazenji wafanikiwe kujitenga na Muungano ili utuepushie hili zigo la miba tunalolibeba huku likituchoma choma.
   
 18. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mkjj NA WENZAKO POLENI, SEMENI MTAKAVYO TIENI FITNA MTAKAVYO, SEMENI WAZANZIBARI WANA ROHO MBAYA WASHENZI NA MENGINEYO ILA WAO WANAJUA MAPEMA "UKITAKA OONEKANE MBAYA DAI CHAKO " NA HAYO YANAYOTOKEA WANACHODAI SI KUWA WAPEWE MALI ZA TANGANYIKA, AU KWA UBAYA WAO WANATAKA KIKUBWA ZAIDI YA HUO UMASKINI WAO MNAODHANI WANAO NDIO WANAOUDAI. WANATAKA NCHI YAO MASKINI ISIO NA RASLI MALI


  NA NYNY HUO UMEME MSIWAPE SIO TATIZO, PIA MKIPENDA WAFUKUZENI WOTE CHA MSINGI WAO WANACHOTAKA NI NCHI YAO SI ZAIDI NA WANATAKA WAULIZWE JEE MUUNGANO WANATAKA AU HAWAUTAKI
   
 19. J

  JULIUS MBIAJI Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afrika ni moja na sisi sote ni ndugu.Mipaka waliyoweka Wakolon ndiyo inayotutesa.Walikosea sana waasisi wa Muungano kuendekeza uwepo wa Zanzibar baada ya Muungano.Walitakiwa kufanya kila kitu kiwe cha Muungano na nchi iwe moja.Waarab au Wazungu watafurah sana kuvunjika muungano na ndiyo wanaofadhil hizo jitihada.Kwa ulivyo Muungano wa leo na jinsi ulivyoasisiwa na jinsi ulivyoendelezwa ni bora UVUNJWE ila kusifanyike hujuma ya kufukuzana raia wenye asil ya upande fulan.Ikitokea watu kufukuzana et warud kwao hakuna atakayebaki Zanzibar maana wote ni Walowez.
   
 20. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Msichafue Zanzibar na cheap propaganda!

  Kenya Weekly News 12 December 1963

  It must be realised that for at least 130 years Zanzibar has had a civilized and peaceful existence under an orgarnized Goverment where racial and religious harmony has been the keynote and that ideas being tried out in neighbouring territories have been established practice in Zanzibar for many years. Mushindwe!
   
Loading...