Video:Kama Hujawahi Shuhudia bi Harusi Akifundwa, Basi hii ni Zamu Yako

Mtu anaolewa anafundwa na Mashangingi badala ya kufundwa na viongozi wa dini kwa mafundisho ya Mungu,au na wanandoa wenye ndoa zenye ushuhuda,...hawa Mashangingi wanadhani ndoa ni kukata viuno tu..
 
haya mafunzo bwana....sio kitchen party zote za maana
kuna siku niliondoka kwenye kitchenparty kabla ya kwisha maana nilihisi itaishia kwa watu kuanza kusagana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom