VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
Maxence Melo,

Shukrani sana wewe pamoja na team nzima ya JF kwa ufafanuzi murua.

Kwa ili darsa mpaka mtu mwenye class ya chini kabisa ataelewa jinsi ya kutumia JF mpya.

Ahsanta...
Naandika ila sijui kama nitajibiwa nakutatuliwa TATIZO LANGU. Hili tatizo langu ni la muda mrefu kidogo na kwa kweli limenitolea hamu ya kuchangia kwenye mambo mengi ya maana humu JF. Suala lenyewe ni kuwa mimi ni member wa JF nadhani tangu 2012 au 2002, sikumbuki vizuri na nilifikia hadhi ya kuwa JF EXPERT MEMBER! Lakini kama mwezi mmoja hivi uliopita nilipata PC mpya na settings mpya, hili likafanya shida kidogo katika kuingia JF, kila wakati nilipokuwa nikijaribu kuingia nilizuiwa eti PASSWORD yangu siyo SAHIHI. Wakati huo nilikuwa naitwa MZEE MUKARUKA, lakini kila wakati nikijaribu kuingia JF nilikuwa nazuiwa eti SITAMBULIKI NA SIJULIKANI ialni kama GUEST! Nilijaribu kujieleza via JF Facebook lakini sikujibiwa. Nilikata tamaa sana kiasi cha kusimama kwa muda mrefu kidogo hadi nilipoamua kujisajili upya kama MUKARUKA MZEE, nikiwa na matumaini kuwa hayo majina yatashabihiana na kuwe na maswali kwangu ili nijieleze, WAPI HILO HALIKUTOKEA! Baada ya kupokelewa, sasa mimi, MUKARUKA MZEE, eti ni New Member! Asiyekuwa na chochote humu JF yaani nina "0" in all fields! Imenikatisha sana tamaa kiasi cha kushindwa kushirikikwenye mijadala mbalimbali humu JF. SIJUI UONGOZI WA JF UTANISAIDIAJE ON THIS?
 
Mimi ni mgeni humu.naomba kuelekezwa nikitaka kumuandikia mtu inbox nafanyaje? na nikitaka kuunga mkono hoja ya mtu,au kumkosoa mtoa hoja nafanyaje? mf mtu ameandika mtaani kwetu wezi.nataka nimkosowe kwa kumuuliza hao wezi ni wakazi wote wa mtaa? nitashukuru
 
Unajiita laptop na code 001 unashindwa vitu vidogo hivyo..
 
Ndg hayo majina tu,hujajwahi kusikia mtu anaitwa clever,au bright lakini mtupu kabisa.nimeomba kuelekezwa
 
Mimi ni mgeni humu.naomba kuelekezwa nikitaka kumuandikia mtu inbox nafanyaje? na nikitaka kuunga mkono hoja ya mtu,au kumkosoa mtoa hoja nafanyaje? mf mtu ameandika mtaani kwetu wezi.nataka nimkosowe kwa kumuuliza hao wezi ni wakazi wote wa mtaa? nitashukuru

jf hatukosoani mkuu
KARIBU SANA

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naandika ila sijui kama nitajibiwa nakutatuliwa TATIZO LANGU. Hili tatizo langu ni la muda mrefu kidogo na kwa kweli limenitolea hamu ya kuchangia kwenye mambo mengi ya maana humu JF. Suala lenyewe ni kuwa mimi ni member wa JF nadhani tangu 2012 au 2002, sikumbuki vizuri na nilifikia hadhi ya kuwa JF EXPERT MEMBER! Lakini kama mwezi mmoja hivi uliopita nilipata PC mpya na settings mpya, hili likafanya shida kidogo katika kuingia JF, kila wakati nilipokuwa nikijaribu kuingia nilizuiwa eti PASSWORD yangu siyo SAHIHI. Wakati huo nilikuwa naitwa MZEE MUKARUKA, lakini kila wakati nikijaribu kuingia JF nilikuwa nazuiwa eti SITAMBULIKI NA SIJULIKANI ialni kama GUEST! Nilijaribu kujieleza via JF Facebook lakini sikujibiwa. Nilikata tamaa sana kiasi cha kusimama kwa muda mrefu kidogo hadi nilipoamua kujisajili upya kama MUKARUKA MZEE, nikiwa na matumaini kuwa hayo majina yatashabihiana na kuwe na maswali kwangu ili nijieleze, WAPI HILO HALIKUTOKEA! Baada ya kupokelewa, sasa mimi, MUKARUKA MZEE, eti ni New Member! Asiyekuwa na chochote humu JF yaani nina "0" in all fields! Imenikatisha sana tamaa kiasi cha kushindwa kushirikikwenye mijadala mbalimbali humu JF. SIJUI UONGOZI WA JF UTANISAIDIAJE ON THIS?
Hawa watu wanaboa sana, hata mm imenitokea nikaamua kuanza upya nikijiona mnyonge niliyesahaulika, kwa sasa sina yale makeke za zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mimi shida yangu NI Kama ya Mzee Mukaruka.Ni member wa siku nyingi humu JF..Hand set yangu naibiwa.Nimenunua NYINGINE.Natumia Nick name Mkwawa Masawe.Nimeomba KUWA registered member wa JF Mara nyingi naambiwa Nitajibiwa.Lakini sijawahi kujibiwa.Naomba mniunge na Mimi nianzishe motions Moto Moto.Thanx.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naandika ila sijui kama nitajibiwa nakutatuliwa TATIZO LANGU. Hili tatizo langu ni la muda mrefu kidogo na kwa kweli limenitolea hamu ya kuchangia kwenye mambo mengi ya maana humu JF. Suala lenyewe ni kuwa mimi ni member wa JF nadhani tangu 2012 au 2002, sikumbuki vizuri na nilifikia hadhi ya kuwa JF EXPERT MEMBER! Lakini kama mwezi mmoja hivi uliopita nilipata PC mpya na settings mpya, hili likafanya shida kidogo katika kuingia JF, kila wakati nilipokuwa nikijaribu kuingia nilizuiwa eti PASSWORD yangu siyo SAHIHI. Wakati huo nilikuwa naitwa MZEE MUKARUKA, lakini kila wakati nikijaribu kuingia JF nilikuwa nazuiwa eti SITAMBULIKI NA SIJULIKANI ialni kama GUEST! Nilijaribu kujieleza via JF Facebook lakini sikujibiwa. Nilikata tamaa sana kiasi cha kusimama kwa muda mrefu kidogo hadi nilipoamua kujisajili upya kama MUKARUKA MZEE, nikiwa na matumaini kuwa hayo majina yatashabihiana na kuwe na maswali kwangu ili nijieleze, WAPI HILO HALIKUTOKEA! Baada ya kupokelewa, sasa mimi, MUKARUKA MZEE, eti ni New Member! Asiyekuwa na chochote humu JF yaani nina "0" in all fields! Imenikatisha sana tamaa kiasi cha kushindwa kushirikikwenye mijadala mbalimbali humu JF. SIJUI UONGOZI WA JF UTANISAIDIAJE ON THIS?
ndio ulistahili hayo,kwani ulitakaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Mimi shida yangu NI Kama ya Mzee Mukaruka.Ni member wa siku nyingi humu JF..Hand set yangu naibiwa.Nimenunua NYINGINE.Natumia Nick name Mkwawa Masawe.Nimeomba KUWA registered member wa JF Mara nyingi naambiwa Nitajibiwa.Lakini sijawahi kujibiwa.Naomba mniunge na Mimi nianzishe motions Moto Moto.Thanx.

Sent using Jamii Forums mobile app
mambo mazuri hayataki haraka,kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom