VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
Hello Member

Nashindwa kutumia huu mtandao na kujibu messages za watu.

Naomba kufundishwa na jinsi ya ku koleza maneno na kuyabadirisha yawe ya rangi na kumtaja mtu.

Nitashukuru sana
 
Naomba kuelekezwa jinsi gani naweza kufanya setting kwenye app ya jamii forum ili niweze kupata notification kwa forum nilizojiunga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom