Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 449
- 750
Unahitaji msaada gan ndugu?
Namimi naomba kujua kufuta kabisa thread au IDSamahani kwa anayeweza kunisaidia namna ya kufuta ujumbe au mada uliyochangia na namna gani ya kuiedit anisaidie tafadhali.
Hicho kigogo mzee umekikalia kwenye ncha hakileti mambo yale ya Sodoma?Msodoki the sunView attachment 924236
Binya kwenye cm screen kwa nguvu juu kulia utaona spana ina kimkato kama kinyundo ibonyeze itakuletea maelezo edit/delete hapo chagua wewe ufanye niniSamahani kwa anayeweza kunisaidia namna ya kufuta ujumbe au mada uliyochangia na namna gani ya kuiedit anisaidie tafadhali.
Ukijibiwa nitagg tafadhaliNisaidieni jinsi ya kubadiri user name ya jf
Tuma PM kwa moderator wa JF, then atabadilisha.
Huyu moderator namjuaje au nampataje ???Tuma PM kwa moderator wa JF, then atabadilisha.
Kama unatumia app, angalia kuna sehemu ina box lenye alama ya kujumlisha 'Photos, Files' fanya kubofya hapo halafu unaweza kuendelea na mchakato mzima.Msaada jinsi ya ku kutuma video picha niliyo idownload