VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
Ndio mara ya kwanza naingia JF nimekuoa nikisoma habari kwa kutumia google ila sasahivi naweza kukomenti na kuandika mada bila Shaka nitajifunza mambo mengi kuhusu Uchumi, siasa, na jamii kwa ujumla
 
Wakuu,

Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.

Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).

Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:



Kwa wanachama, video hii chini inahusika pia. Kuna kitu nimesahau kukigusia lakini ni rahisi, kuweka videos kwenye thread tunashauri mtu aipeleke VIMEO, YouTube kwingineko; hapa JF una-paste link tu na video automatically itakuwa embedded.



Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.

Aidha, ni vema kusoma topic hizi:

The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...

Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?

na

JamiiForums Rules

Mkuu mimi ninashindwa ku log in kwenye app, ninaomba unisaidie kiufundi
 
Wakuu wenzangu wa zamani sijaonekana muda mrefu, wapangaji ndio wanaopanga bei na namna ya kukulipa au wanahama, upanga nyumba ya 3 bedroom ni laki 7 kutoka dola 1100. fremu kariakoo ni 500000 kutoka dola 1200. Wageni karibuni musiwe waoga tena ningependa members wote angalau wawe ni diploma kabla ya kuja humu.Ntarudi kesho nishapambana na hali yangu na pia namwamini mungu,nawatakia kila la heri.
 
Msodoki the sun
IMG_20171017_154848.jpeg
 
Jaman mm ni mgeni huku jf nimejiunga mda kidog lakini nilikuwa siitumii kutokana na kushidwa kuitumia msaada please
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom