VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)


Maxence Melo

Maxence Melo

JF Founder
Staff member
Joined
Feb 10, 2006
Messages
2,837
Points
2,000
Maxence Melo

Maxence Melo

JF Founder
Staff member
Joined Feb 10, 2006
2,837 2,000
Wakuu,

Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.

Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).

Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:


Kwa wanachama, video hii chini inahusika pia. Kuna kitu nimesahau kukigusia lakini ni rahisi, kuweka videos kwenye thread tunashauri mtu aipeleke VIMEO, YouTube kwingineko; hapa JF una-paste link tu na video automatically itakuwa embedded.


Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.

Aidha, ni vema kusoma topic hizi:

The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...

Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?

na

JamiiForums Rules
 
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,019
Points
2,000
ChoiceVariable

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,019 2,000
S
Kama unatumia app, angalia kuna sehemu ina box lenye alama ya kujumlisha 'Photos, Files' fanya kubofya hapo halafu unaweza kuendelea na mchakato mzima.
Situmii app Niki attach kawaida inagoma
 
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
3,862
Points
1,995
Lord eyes

Lord eyes

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
3,862 1,995
JamiiForums nini kilikupata Jana nimehangaika kuingia humu @Moderator
screenshot_2019-03-30-23-52-12-jpeg.1058591
 
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
441
Points
500
Age
21
Kamwene

Kamwene

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
441 500
Inabidi huu uzi kuupitia this is interesting.
 
Mnyongeni Mnyonge

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Messages
559
Points
500
Mnyongeni Mnyonge

Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2015
559 500
Mkuu kuna majukwaa mpaka niombe kibali kujiunga vipi naombaje hivo.vibali
 
E

empty mind

Member
Joined
Oct 27, 2018
Messages
11
Points
45
E

empty mind

Member
Joined Oct 27, 2018
11 45
Hata mimi cjui namna ya ku Pm mtu, nataka maelezo cio video tafadhali
 

Forum statistics

Threads 1,285,027
Members 494,367
Posts 30,847,695
Top