VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Maxence Melo

JF Founder
Joined
Feb 10, 2006
Messages
2,918
Points
2,000

Maxence Melo

JF Founder
Joined Feb 10, 2006
2,918 2,000
Wakuu,

Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.

Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).

Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:


Kwa wanachama, video hii chini inahusika pia. Kuna kitu nimesahau kukigusia lakini ni rahisi, kuweka videos kwenye thread tunashauri mtu aipeleke VIMEO, YouTube kwingineko; hapa JF una-paste link tu na video automatically itakuwa embedded.


Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.

Aidha, ni vema kusoma topic hizi:

The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...

Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?

na

JamiiForums Rules
 

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
14,592
Points
2,000

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
14,592 2,000
Samahani kwa anayeweza kunisaidia namna ya kufuta ujumbe au mada uliyochangia na namna gani ya kuiedit anisaidie tafadhali.
Binya kwenye cm screen kwa nguvu juu kulia utaona spana ina kimkato kama kinyundo ibonyeze itakuletea maelezo edit/delete hapo chagua wewe ufanye nini
 

Forum statistics

Threads 1,381,645
Members 526,151
Posts 33,807,290
Top