VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

Status
Not open for further replies.
Wakuu,

Kumekuwepo maombi toka kwa wadau wengi wakitaka kujua jinsi ya kuitumia JF mpya.

Video mbili zinazoambatanishwa zinaeleza kwa ufupi jinsi ya kuitumia. Video nyingine mbili zitaongezeka katika kuongezea juu ya features mpya zitakazoongezeka JF (hivi karibuni).

Kwa wale wanaoitembelea JF kama guests (hata wanachama mnashauriwa kuangalia), naomba muiangalie hii video:



Kwa wanachama, video hii chini inahusika pia. Kuna kitu nimesahau kukigusia lakini ni rahisi, kuweka videos kwenye thread tunashauri mtu aipeleke VIMEO, YouTube kwingineko; hapa JF una-paste link tu na video automatically itakuwa embedded.



Usisite kuwasiliana nasi pindi utakapokwama kwa lolote.

Aidha, ni vema kusoma topic hizi:

The New JamiiForums Interface: Maoni yako tafadhali...

Topic gani hufungwa au kufutwa kabisa JF?

na

JamiiForums Rules

Ni namna gan nitafanya ili habari yangu isomeke mwanzon kabisa
 
Mimi nafikiri mambo mengine tusijaribu kuyakuza bila sababu, hapa inaonekana wanataniana - hiyo inaonekana wazi wazi wanavyo jibizana.
 
Nilikuwa sijawahi tizama hii video, ila leo nimeitizama kwa uzuri,
Asante sana Maxence Melo kwa kutufafanulia, japo mie member wa muda lakin kuna sehemu nilikuwa sizijui ati.
Afu Maxence, hiki kialama sijui kina maana gani, naona hapa chini kipo na hapo juu hakipo...hiko kimiwani.
Screenshot_2016-06-11-09-28-51-1.png
 
Nilikuwa sijawahi tizama hii video, ila leo nimeitizama kwa uzuri,
Asante sana Maxence Melo kwa kutufafanulia, japo mie member wa muda lakin kuna sehemu nilikuwa sizijui ati.
Afu Maxence, hiki kialama sijui kina maana gani, naona hapa chini kipo na hapo juu hakipo...hiko kimiwani.
View attachment 355677
Manake ulishiriki kwenye mjadala huo na automatically ukawa subscribed au ume-subscribe mwenyewe kwa hiari.

Unaweza ku-unsubscribe ukitaka na kitaondoka
 
Najua huu uzi inaweza kua sio mahala pake kwenye hili jukwaa

ila naomba mnisaidie jinsi ya kuweka italic word, bold na coloured word pindi unapoandika comment humu JF

NI HAYO TU WAUNGWANA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom