Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”

Wewe kila mara unakuja na mada za kuonyesha wazungu ni wabaya. Ongoza waafrika nao waendelee kama wazungu basi ili huu utofauti na ''uonevu'' uishe. Otherwise huna tofauti na yule mlevi anayelewa mpaka kujinyea na anaposafishwa anatukana.
Mkuu jamaa anafurahia kimoyomoyo eti wazungu watatoa Gloves na Masks bure! akaringishie kijijini, Eti ni Madaha ya mjini Darisalame! any way Wazungu wakizidi kuugua ugonjwa, Waafrica wanakufa kwa njaa!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom