VIDEO: Jinsi Ice Cream Zinavyotengenezwa kiwandani | Bakhresa Anaweza Haya Mambo?

Traveller X

JF-Expert Member
May 2, 2017
271
305
Wadau nimeona niwaletee hii tusafishe macho kidogo,

Swali langu ni je! mzee wetu bakhresa huwa anatumia mashine kama hizi kututengenezea zile lamba lamba zetu??



Source: My youtube Chanel >>watafak
 
Itakua hujawahi ingia kiwanda chochote katika maisha yako

Mbona process za kawaida tu hizo hata viwanda vidogo viko vina automated fillers
 
Umenikumbusha ice cream ya maziwa ngoja nifanye mchakato....
 
Hebu nenda kiwandani ukafanye research na utashuhudia na kupata majibu kwa naked eyes

Nauli yako 400 au 500 tu

Sasa sisi tutajuaje
 
Ubunifu wa hali ya juu, unaowezesha uzalishaji mwingi kwa muda mfupi. Elimu yetu itukomboe nasi tubuni na kutengeneza mitambo kama hii kwenye kilimo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom