Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,562
- 217,871
Wakati mwingine watu wema hatuwapi heshima wanayostahili , Kama ulichelewa basi wakati wako ni huu , Hatutakuwa na muda mwingine.
Tena bila kupepesa machoAlinena vema sana!
Hii fimbo ya dakika 4 tu ilikuwa ni kali. Kweli sikuwahi kuisikia, ila Jenerali Ulimwengu ni Jasiri. Hahitaji dk 30 kufikisha ujumbe sahihi moyoni mwa watanzania.Wakati mwingine watu wema hatuwapi heshima wanayostahili , Kama ulichelewa basi wakati wako ni huu , Hatutakuwa na muda mwingine.
View attachment 2014593
HakikaHii fimbo ya dakika 4 tu ilikuwa ni kali. Kweli sikuwahi kuisikia, ila Jenerali Ulimwengu ni Jasiri. Hahitaji dk 30 kufikisha ujumbe sahihi moyoni mwa watanzania.
Viva Jenerali!
Mkuu Erythro, katika kukusoma kwangu humu JF kwa siku nyingi sana, sidhani kuwa uliwahi hata siku moja kuweka taarifa iliyosisimua akili/mwili kama ilivyonisababishia habari hii leo.Wakati mwingine watu wema hatuwapi heshima wanayostahili , Kama ulichelewa basi wakati wako ni huu , Hatutakuwa na muda mwingine.
View attachment 2014593
Wala kutikisa masikio.Tena bila kupepesa macho
Mkuu Erythro, katika kukusoma kwangu humu JF kwa siku nyingi sana, sidhani kuwa uliwahi hata siku moja kuweka taarifa iliyosisimua akili/mwili kama ilivyonisababishia habari hii leo.
Kwa sasa nitaachia hapa, na narudi tena kusikiliza kwa mara nyingine hiki kipande cha video ulichokiweka hapa leo.
Lakini, kabla sijaondoka niulize swali (rhetorical): Hivi kuna waTanzania wasioweza kusikia na kuelewa haya machache yaliyosemwa hapa na huyu mtu?