Mmhh..Kumekucha..Jerry asimuige Kova kukurupuka sasa,inabidi atulie..Ukweli utajulikana tu
avatar yako na jina lako vimenifurahisha mmmmh...janjaweed!Jerry needs to calm down na atafute good lawyers watakaomsaidia ku-clear issue ya pingu, bunduki na rushwa... akiweza kumaliza ndio achape ya defamation
Kova rushed and he failed miserably kwa kushindwa ku-connect the dots
he badly needs some patience kwa kweli!!! vinginevyo ataharibu kama kamanda!!!
avatar yako na jina lako vimenifurahisha mmmmh...janjaweed!
Jerry rafiki yangu... nakuomba tuliza mzuka, truth adn justice takes time!!! umeanza kuwapa scores hawa jamaa
remember Kova ni system na wewe ni Jerry!!!
and we all know the results mtu anaposhindana na 'system'..... watu wa karibu please do something...... (wish i could reach him on the phone thou)
Hivi Jerry Muro ni nani?
katika hii video kuna mambo ambayo ningependa kujua kwa undani
1.Jerry Muro anasema Kova is very minor person;siyo jeshi la polisi
2.Miaka minne anakaaa na Pingu,yeye ni Polisi?
Who the hell is Jerry Muro?a cop?wtf
Hata mimi nimejiuliza swali hilo hasa baada ya yeye (Jerry Muro) kudai kwamba hivi vitu anavyo kwa muda wa miaka 4 na kwamba Kova ni mtu mdogo sana na vile vile Kova angemuuliza kwamba amevipatia wapi vitu hivyo! Kama hawajamuuliza swali hilo, too sad for Kova! However, I think there is Jerry Muro we don't know yet! Let's wait n c!