Video: Jamaa aelezea Mwanzo mwisho show ya lori la mafuta kulipuka Morogoro, Alishuhudia mdogo wake akiteketea kwenye Moto bila msaada

Hilo eneo mimi nalijua sana.
Trust me. Moto haukutoka kwa mama ntilie.

Halafu kuna good number of victims unaccounted for. Wengine waligeuzwa majivu yasiyoweza toa DNA, they were incinerated to ashes by the inferno. Too bad
una uhakika gani? Ulikuwa karibu moto ulipoanza? Anyways hata hilo la mama Ntilie bado ni ubashiri. Kama nilivyosema petrol hushika moto haraka sana. Hata spark ya pikipiki inaweza kuwa chanzo. Ni vigumu kujua hasa kilichotokea kwani wengi ya waliokuwa kwenye kianzio cha moto walifariki.
 
Sure.
Kuna sehemu dogo kaongea yasiyoeleweka.
Eti kuna mtu alikuwa anaungua halafu akapitiliza hadi ile sehemu aliyotunza mafuta chini ya mti halafu yakalipuka na kuunguza mti. Hiyo narration doesn't make sense.
Isitoshe, mashuhuda wengine wanadai moto ulisababishwa na aliyechomoa battery na haukuanzia kwa mama ntilie.
Mbona yupo vizur tu kuna watu walikuwa wanaungua huku wanakimbia so mtu alisogelea mafuta na ana moto mwilini na ni kweli nlishuhudia watu wakikimbia na moto
 
Mkuu viganja vingine hatukujua vimetoka kwa watu gani, maana miili mingi iliyoopolewa pale ilikuwa na viganja isipokuwa hivyo tulivyoookota maana yake watu wengine 63 hawakujulikana wapo wapi..hao wenye viganja.
haya kweli maaajabu ya eneo la tukio.

kwahiyo kumbe inawezekana kabisa kuna familia mpaka sasa hazijaonana na ndugu zao,na katika sample hamna walichoambulia.

aisee ni hatari sana.
 
Poleni sana, alikuwa mpita njia au na yeye alikuwa anajaribu"kujipatia riziki"?
poleni sana
Alikuwa anatoka safarini na baba yake,na baada ya kufika eneo la tukio waliegesha gari pembeni wakaenda kuangalia nini kinaendelea kwenye ule mkusanyiko,baba alikuwa mbali kidogo lkn mtoto alisogea kabisa mpk kwenye kundi la watu na ghafla mlipuko ukatokea..Baba alikuwa salama kbs lkn mtoto alikuwa mmoja wa mahututi waliofia Muhimbili.Ni kijana wa miaka 15
 
Back
Top Bottom