Video inatisha: Mauaji haya yametokea wapi?

Hao Flying Squad Kenya, sio mara ya kwanza jamaa wana~shoot to kill in public tena suspect akiwa ashakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi. Very stupid.

Waliitwa hot bed of terror na CNN wakaja juu ila they let shit like this being done by their own special forces on public. The only situation ya ku~execute mtu on public ni kama ana silaha trying to fight you back, au execute with a sniper usionekane ni nani, kwa style hii watu wataogopa hadi their own government, its sending a really bad message.
 
wana deal na kuzuia nini hao jamaa?ujambazi,ugaidi ama muhalifu yeyote?ntashukuru kwa kunifafanulia kuhusu hao jamaa.
 
Hapo ni eastleigh Nairobi, Juzi wameua askari na kumpokonya silaha, jana wamepatikana na adhabu ikawa ile ile. Flying squad hu deal na majambazi sugu wanaoiba kwa mabavu
 
Kama waliuwa basi imewapasa kupata adhabu stahiki wala isiwe ni swala la kuingiza siasa.
 
mi hiyo kazi ya huyu askari nimeipenda sana na kiukweli mi hizi kazi ndo zinanifaa..
 
Kuna news article mkuu wao wa police anasema na bado atapiga risasi hata yeye mwenyewe wale wote waliouwa askari wawili. Hao vijana wanashukiwa kuuwa askari hivyo hapo police wanalipa upanga kwa upanga!
 
Back
Top Bottom