Video inaonyesha kwa nini wachina wanashinda sana olympic 2012

hakuna video ... weka link
Ohooo mkuu nimei download na sikumbuki link ila video clip ninayo,,, nielekeze jinsi ya kubandika video clip kama ni possible nitupie sasa ivi. Samahani kwa usumbufu jamani nilijua imeupload
 
Kazi ipo.

Hapo ndipo Yusufu anapopewa kazi ya kutafsiri maana ya ndoto ya mfalme, akiuliza ndoto yenyewe ilikuwaje? Mfalme anamwambia na ndoto yenyewe nishaisahau, kwa hiyo kwanza nikumbushe ndoto ilikuwaje halafu pili itafsiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom