Video iliyozua gumzo Afrika Kusini

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,627
Ubaguzi huzaa chuki na huenda pande zote huku SA zinatakiwa zijitafakari. Video hiyo inamuonyesha mwanaume wa Kiafrika pasipo sababu zozote anamwazishia mwananchi mwezake mwenye rangi nyeupe (whites) akimuuliza unafanya nini hapa jijini na mke wako? Kwa nini mko hapa? Hapa sio kwenu!! Kila mtu anafahamu hapa sio kwenu, kama huamini niguse uone!! Wewe ni mzungu hapa sio kwenu utanifanya nini wewe muhamiaji!!

Baadae pasipo kutegemea anamfuata mwanaume mmoja ambaye ni black na kumleta hadi kwa huyo kaburu (mzungu)! Anamuuliza unamuona huyu? Huyu ndie mwenye nchi hii na ndie ndugu yake haswaa sio wewe mzungu. Katika hili wapo wengi wanaomkosoa huyu jamaa huku walioumizwa na historia ya ubaguzi wakimuunga mkono

Screenshot_20200228-065709_1582862269030.jpeg
Screenshot_20200228-065247_1582862299384.jpeg


VIDEO:

 
naye kwa ulevi wake anfikiri hiyo itamsaidia!!!, akumbuke tu Mandela wanaye mheshimu sana alikataa hizo,hata hapa kwetu Mwlm alizikataa hizo za kubaguana, eti mzawa. huyu yafaa amtafute Malema wapange mikakati ya kumkomboa son of the soil kwa njia za kisasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom