Video iliyoangaliwa mara nyingi zaidi Youtube kwa mwaka 2016!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,137
27,084
Si nyingine ni Work from home ya Fifth Harmony wakiwa na Ty Dolla $ign...
Hawa wadada wanajua mpaka basi, hongera zao maana hakuna kundi lolote la muziki kwa akina dada linalowafikia labda kidogo Little Mix!!

ba397367576f020cc9dd9836f4790215.jpg
 
mi nilianza kujiandaa kuangalia ya Simba imekuwa ya ngapi..!
Kumbe una maanisha vya hivyo...
Teh huyo Simba wenu view zake huko mbele wanazipata kwa siku moja...
Bongo mtu akiwa na total viewers 5m kelele mwendo mmoja!
 
Back
Top Bottom