Video ikionyesha bia ya kampuni ya TBL yenye uchafu ndani

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
Mnaosema nimetumwa na Serengeti angalieni na hiyo video

Hii sio mara ya kwanza uchafu kuonekana kwenye chupa za vinywaji,

siku za nyuma humu humu ilikuja kilimanjaro ikiwa na mende ndani,

mwenyewe niliwahi kukutana na kisoda kikiwa kimekunjwa ndani ya chupa ambayo haijafunguliwa,

kuanzia hapo niliacha kunywa soda completely.
 
Hii ni pesa aliyekutana na hii kitu ningemjua badala ya kupakua video ningemshauri tupate mamilioni.Nitafutieni namba zake nimshauri.
 
Mimi napiga vyombo lakini sijawahi kunywa vyombo vya Serengeti/SBL,lakini vyombo vya TBL hata nikikuta chura ndani ya Chupa,chura anakuwa kitafunio/kaa kimya mtoto wa Mama/kula kulala hujui hata bei ya bear,mpaka uvizie baba yako akienda kukojoa ndipo uvizie alioiachia kwenye gras.
 
😆
 
sishauri sana watu kunywa soda kwa style ya Tarumbeta

pendelea kutumia Glass itakusaidia kuona nini kipo ndani ya kinywaji chako

Nilishakutana na mirinda ina uchafu aseee nilihisi naona vibaya,ilibidi nitoe soda zote kwenye friji

Nikague moja baada ya nyingine,Tangu nizimalize zile soda hadi leo hii Sigusi SODA n sitegemei

Na huninyweshi chochote kile bila Glass labda maji TU.
 
Hizo ni hujuma tu, mi nimewahi kufanya field TBL machine zao zinaweza ku sense hata chembe ya uchafu na chupa inatolewa kwenye line automatically, uchafu km huo hauwezi kupita bila kuonwa
 
Hakuna kitu km hicho

Ile mitambo haiwezi kuruhusu uchafu huu kupita

Msiharibu brand zilizojengwa kwa miaka 50
 
Back
Top Bottom