Nyanswe Nsame
Senior Member
- Jul 9, 2019
- 158
- 175
Mnaosema nimetumwa na Serengeti angalieni na hiyo video
wewe tulia watu tule vyomboMnaosema nimetumwa na Serengeti angalieni na hiyo video
Mnaosema nimetumwa na Serengeti angalieni na hiyo video
Mkuu mbona iyo safi tuu, vp wale tulio wahi kunywa mbege, kangara, gongo, ulanzi au ujawahi kuona mazingiza yanayotengenezewa?Hii video iambatane na ule uzi wa "walevi na wanywa pombe"
Mimi napiga vyombo lakini sijawahi kunywa vyombo vya Serengeti/SBL,lakini vyombo vya TBL hata nikikuta chura ndani ya Chupa,chura anakuwa kitafunio/kaa kimya mtoto wa Mama/kula kulala hujui hata bei ya bear,mpaka uvizie baba yako akienda kukojoa ndipo uvizie alioiachia kwenye gras.
Mkuu mbona iyo safi tuu, vp wale tulio wahi kunywa mbege, kangara, gongo, ulanzi au ujawahi kuona mazingiza yanayotengenezewa?
Acha wana wanywe bia.
hiyo material huongeza ladha!Acha wana wanywe bia.