VIDEO: Huyu ndiye mkulima aliyeenda kortini kupinga ukomo wa urais (by Mwananchi)

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Bwana Patrick D. Mgoya afungua kesi mahakamani kutaka ukomo wa Urais (vipindi viwili) kuondolewa, na kuwaachia wapiga kura kuweka ukomo.
Ila amenishangaza anaposema ukomo wa ugombea Urais uondolewe kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ila ubaki kwenye katiba za vyama vya siasa (sikiliza kati ya 2:16 na 2:22). Kwa style hii na kama endapo hakuna mgombea binafsi (ambaye haruhusiwi kikatiba), ukomo kweli utakuwa umeondolewa? Huyu bwana yupo sawasawa kweli?

 
Back
Top Bottom