VIDEO: Hotuba ya M/Kiti wa CHADEMA Taifa wakati akifungua Kikao cha Dharura cha Kamati Kuu

Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.

Viongozi wenu wa CCM huwa hawaongei ovyo, ina maana umemuona SLAA tu ndio amekosa??
 
Ni hotuba nzuri kwa kweli... Nimesikiliza yote.

hivi ndivo chama na mwenyekiti wanatakiwa kuwa! Mheshimiwa Mbowe muda wote amezungumza aki refer maslahi ya Watanzania, maslahi ya raia, hakuna hata mahali alipozungumzia maslahi ya chama wangekuwa wenzetu ungesikia "ccm ina wenyewe" ccm itatawala milele" "ccm ndio inayotawala"!! CDM inaonyesha kwa vitendo namna inavoweka maslahi ya Watanzania mbele chama baadae!
 
Wakuu kwa uzoefu wangu huu mtandao wa YouTube unazingua sana; ukiangalia video kila baada ya sekunde kama 10 hivi inasimama kwa ajili ya "buffering" mpaka inaboa. Video ya dk. 15 itakuchukua hadi dk. 60.

Chadema watafute site nyingine kwa ajili ya ku-host hiyo online TV yao waachane na YouTube. Zipo site kibao za kulipia hela kidogo tu kwa mwaka.

YouTube haizingui man, network yako iko poor thats why, mimi naangalia video ya 1hr YouTube bila kunasa hata mara moja kwenye laptop na hata kwenye simu its ur internet speed problem
 
Speech imekaa vizuri, ni kama za Martin Luther King Jr. Jamaa haogopi sisi na taasisi zake kandamizi! Big up Chadema
 
Sasa ndio nini hicho? naona hapo siasa zimefika kikomo na hakuna ila sauti za kuiga wachungaji tu. Kwa namna hiyo atakonga nyoyo za walokole wengi sana. Tusio walokole Jee?
 
YouTube haizingui man, network yako iko poor thats why, mimi naangalia video ya 1hr YouTube bila kunasa hata mara moja kwenye laptop na hata kwenye simu its ur internet speed problem

Well inawezekana. Nilikuwa natumia modem ya Tigo na mahali nilipo signal strength ni 95%. Asubuhi hiyo ya jana niliangalia live kipindi cha Star TV (discussion ya Nape, Tundu Lissu, na wengineo) bila tatizo lolote, very clear bila chenga wala buffering.

Nikiingia kwenye site zingine mambo yako hivyo hivyo - very clear. Tatizo linakuja pale ninapo-switch YouTube. May be kuna kitu Tigo wamefanya ku-control YouTube? May be, siwezi kujua ila ninachoeleza ni hali halisi ninayokumbana nayo kila ninapojaribu kuingia kwenye hiyo site.
 
Mkuu acha kutumia network zenye speed ya Kobe, Nina muda sana tangu Mara ya mwisho Kuona YouTube ikibuffer, upgrade bandwidth yako au tafuta provide wa ukweli.

Asante kwa ushauri Mkuu. Ninatumia 3G ya Tigo na mahali nilipo signal strength ni 95%. Hebu ni-tip kidogo ni mtandao gani mzuri kwa upande wa internet speed?
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.

wagome tu. maake huwa hata hawatangazi mazuri ya vyama vya upinzani ila mabaya ndo huandaliwa air time kubwa ya kilindi maalumu. kwa jina linawafaa sana. Tido alikuwa anatumia kama chombo cha immaterial lkn wakamfukuza au huna kumbukumbu unatumia masaburi kutunza kumbukumbu. au kichwa yako imekuwa formatted.
 
Kwa nini kikao cha dharura baada ya kifo cha Mwangosi? waliokufa kule moro, igunga na kwingine hakukua na haja ya kikao cha dharura?

Ni muhimu kwa sababu mpaka CDM imalize mzunguko wa M4C nchi nzima watakufa watu wangapi? Lazima kuweka mikakati ya kukomesha huu uhuni!
 
watanzania kwa sasa tunaamini mabadiliko ya kweli yanakuja bila kuzingatia uchama wala hali ya vitisho kutoka popote.:shetani:its danger!!M4C MBELE KWA MBELE.
 
The Man is speaking with all Moral Authority,,,nimependa sana,,,,,maamuzi yanayomuhusu palepale anachukua.....M4C inaendelea kama kawa
 
Mi sijamuelewa Mbowe au sijui ni uwezo wake mdogo wa uelewa wa mambo hususani katika medani ya siasa.Inaonekana agenda anatoa kichwani kwake bila hata kutafakari na kuhusisha baadhi ya viongozi wenye upeo tofauti na wake.Chama hakiongozwi kwa namna hii na Mh Sitta alikuwa sahihi kusema safu ya uongozi CDM ni nyembamba.
 
hivi ndivo chama na mwenyekiti wanatakiwa kuwa! Mheshimiwa Mbowe muda wote amezungumza aki refer maslahi ya Watanzania, maslahi ya raia, hakuna hata mahali alipozungumzia maslahi ya chama wangekuwa wenzetu ungesikia "ccm ina wenyewe" ccm itatawala milele" "ccm ndio inayotawala"!! CDM inaonyesha kwa vitendo namna inavoweka maslahi ya Watanzania mbele chama baadae!

Eliah G Kamwela says thanks for this very useful post.
 
Sasa ndio nini hicho? naona hapo siasa zimefika kikomo na hakuna ila sauti za kuiga wachungaji tu. Kwa namna hiyo atakonga nyoyo za walokole wengi sana. Tusio walokole Jee?

Mkuu,mbona udini umekujaa hivyo?
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.

King cobra (Rais wa sasa wa Zambia) aliomba TBZ aka television ya Taifa ya Zambia iache kutangaza habari zake baada ya kumtangaza vibaya kwa muda mrefu. Wakagoma, wakaendelea kumripoti kwa kumchafua - wazanzabia wakapuuza habari hizo. Mwishowe leo ni Rais wa Zambia, baadhi ya wafanyakazi wa TBZ walijiuzulu bila kufukuzwa. TBC someni alama za nyakati. Sweety Lady, worry not wakitususia binafsi nitasherehekea. Ujue ndo wao watapoteza watamaji wapenzi wa Chadema.

Sasa ndio nini hicho? naona hapo siasa zimefika kikomo na hakuna ila sauti za kuiga wachungaji tu. Kwa namna hiyo atakonga nyoyo za walokole wengi sana. Tusio walokole Jee?

Wewe Zomba, Tangu lini uzungumzaji wa kutoa hotuba ukaigwa kama Kwaya. Mimi ni mkristo lakini sijui sauti rasmi ya wachungaji. Kila mmoja ana sauti yake. Sasa hii sauti rasmi ya wachungaji anayoiga Mbowe, honestly sijaielewa.
Hivi kwani kama huna kitu cha kusema kuhusu Chadema huwezi kukaa kimya ukiwa ni mkrereketwa wa ccm?
Maana hoja zingine zinakufanya usiaminike tena.
 
Mi sijamuelewa Mbowe au sijui ni uwezo wake mdogo wa uelewa wa mambo hususani katika medani ya siasa.Inaonekana agenda anatoa kichwani kwake bila hata kutafakari na kuhusisha baadhi ya viongozi wenye upeo tofauti na wake.Chama hakiongozwi kwa namna hii na Mh Sitta alikuwa sahihi kusema safu ya uongozi CDM ni nyembamba.

Mkuu heshima yako,
Naomba uwe specific ili tuweze kuchangia hoja yako kuhusu uelewa wa Mbowe. Inawezekana una point ila sisi hatujaelewa. Kumbuka mambo yafuatayo.
Mbowe hatoi kichwani peke yake ndo maana alitoa baada ya kikao, lakini hata hivyo yeye huwa anachanganya na zake pia.
Mafanikio ya Chadema yamepatikana ikiwepo kuzinduliwa kwa M4C yeye akiwa mkiti na katibu wake Dr Slaa.
Nina mengi ya kueleza lakini hebu fafanua hoja yako kwanza.
 
Wewe Zomba, Tangu lini uzungumzaji wa kutoa hotuba ukaigwa kama Kwaya. Mimi ni mkristo lakini sijui sauti rasmi ya wachungaji. Kila mmoja ana sauti yake. Sasa hii sauti rasmi ya wachungaji anayoiga Mbowe, honestly sijaielewa.
Hivi kwani kama huna kitu cha kusema kuhusu Chadema huwezi kukaa kimya ukiwa ni mkrereketwa wa ccm?
Maana hoja zingine zinakufanya usiaminike tena.

Dah, wewe utakuwa una matatizo ya kusikia lakini hujijui. Ushauri wa bure; kamuone ENT specialist.
 
Amechemka sana. Kiongozi wa siasa lazima uwe mvumilivu na mwenye kuchagua maneno ya kuongea. Kitendo cha kukiita kituo cha habari cha taifa ''kipeperushi cha CCM'' kinaonyesha dhahiri kuwa mheshimiwa huyu hana busara wala uvumilivu wa kisiasa. Sasa TBC wakigomea kutangaza habari za CHADEMA atamlilia nani sijui? Watu wengine bwana.
kwani huwa wanatangaza chochote kinachohusu CHADEMA?? Zaidi ya kupeperusha bendera ya CCM?? Keani unafikiri na kitu gani kilichomwondoa TIDO MHANDO TBC?? He didn't want to favor any political party..
 
Back
Top Bottom