The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,393
- 12,977
Nani kakwambia ni Msukuma.....!!Her best qualification is being a MSUKUMA
Nani kakwambia ni Msukuma.....!!Her best qualification is being a MSUKUMA
She is the crownNi vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Huyo Ana vinasaba vya kisukuma tu maana anaonekana ni limbukeni sanaNani kakwambia ni Msukuma.....!!
Ni vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Kwasasa Nchi ina Changamoto ya upungufu wa Madarasa, upatikanaji wa maji upungufu wa Matundu ya vyoo na Changamoto hii ni yamiaka ming sanaa miaka60 ya Uhuru bado tunaongelea hizo changamoto Halafu Anatokea Mjinga Mmoja Anasema eti Rais aongezewe muda hata kama hatak Alazimishwe!Ni vituko juu ya vituko !
View attachment 1694738
Hata aliyemteua huyo maza dishi lake limekaa tenge.Wanaofikiri huyu mama ni mzima Wana matatizo makubwa.
Kumjua chizi siyo lazima umchungulie maana kelele zake tu zinatosha
Hao ni Gwaji Chizi.Nilipandisha Uzi wa GwajiBoy na GwajiGirl wote Ni Gwajifiksi mods wakaufuta
Haya Sasa
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app