Video: Hili la njaa tusichekane, watoto waishi kwa kula kinyesi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Mijitu kutwa kujisifia kwenye mitandao jinsi kwao wana lishe bora.....taarifa kama hizi zinatia huruma

 
Mijitu kutwa kujisifia kwenye mitandao jinsi kwao wana lishe bora.....taarifa kama hizi zinatia huruma


Nimeshindwa hata kutazama hio video. Sina nguvu ya kuitazama. Inasikitisha sana umasikini wa majirani zetu.Huwa wanatucheka upande wa njaa lakini kumbe wao ndio wanaongoza.
 
Lol...😂 that repulsive cannibal (the former)was busy slaughtering children today! I heard that they consume albino meat to improve libido! A very wicked society!

Kuna matukio mengi ya kiajabu hutendeka kwa hawa wenzetu, sema media zao huwa kimya, hamna moto kama media za Kenya.
 
Mama weee.....Cha ajabu hii....Tena jana watoto sita wakakatwakatwa kama nyama ya sokoni I say......The Real Danganyika is out there people,Dark,Chilly and scary......These ones on JF are just keyboard warriors....
 
Global tv is an online media, not a conventional news channel. Together with Uwazi tabloid, is owned by same company Global publishers, known for fabricating stories. The aim is to get good number of online viewers regardless whether the news is fake or not.

People who are serious, do not take stories from global publishers seriously.
 
Back
Top Bottom